Tegemea 24/04/2025 Tundu Lissu kutoletwa Mahakamani au Jaji kutokomea pasipojulikana

The Saver

JF-Expert Member
Aug 21, 2014
203
664
Kwa kifupi Pressure kwa mama ni kubwa walitegemea siasa za kupita mlango wa nyuma ila kwa TATA LISU NA HECHE wamegonga mwamba.

Kuna uwezekano mkubwa LISSU kutoletwa mahakamani au jaji kutokomea kusikojulikana na kuanzia tarehe 23/4 mpaka 26/4 jiandae kwa matukio ya kijinga kwa WASANII wetu ya kuvujisha CONNECTION ili kupoteza tension za lissu.

Stay tuned
 
Dalili zinaonekana kabisaaa
 
We bwege unaota ndoto za kipuuzi, lofa km Lissu ampe amiri jeshi mkuu pressure? Vijana wa sk hizi hamna akili kabisa
 
naona kesi ya lissu iahirishwe hadi tumalize msiba wa papa, vipi armstedarm alishapeleka kesi kwenye jumuia za LGBT?
 
Wishful thinking. Tulieni mahakama ifanye kazi yake. Mhe. Rais hawezi kupata pressure kwasababu ya maneno ya genge la mamluki.
 
Kwa kifupi Pressure kwa mama ni kubwa walitegemea siasa za kupita mlango wa nyuma ila kwa TATA LISU NA HECHE wamegonga mwamba.

Kuna uwezekano mkubwa LISSU kutoletwa mahakamani au jaji kutokomea kusikojulikana na kuanzia tarehe 23/4 mpaka 26/4 jiandae kwa matukio ya kijinga kwa WASANII wetu ya kuvujisha CONNECTION ili kupoteza tension za lissu.

Stay tuned
Nyumbu wanahangaika kutuaminisha ambacho hakipo!! Apate pressure kwa lipi?!!!!! Kelele za hivi vinyumbu vichache?!!!! Kama jaji ana ratiba nyingine muhimu zaidi kuliko ya huyo chiba ataenda kuihudumu hiyo halafu atakuja; kama mtatafsiri hiyo ni kiwakimbia hivyo vinyumbu vinavyoenda kusikiliza kesi basi hiyo hakuna atakayeshangaa kwani nyumbu mara zote huwa na mawazo ya kijinga tu.

Kuhusu wasanii, huo nao ni ushahidi wa upumbavu wenu wa kifikra. Maisha hayajawahi kusimama, yanaendelea kama kawaida. Kwako Kuna msiba unaendesha mazishi kwa jirani Kuna ndoa wanafanya sherehe. Wakati wa kifo Cha Magufuli Kuna shughuli zilikuwa zitaendelea kama kawaida....Congo m23 inadukbua, koffi anakuja kucheza 'Achii' na Diamond. Mnataka watu wasiendeshe maisha yao kisa matatizo yenu nyie?!!! Pumbaaavu. Wanazpopata misukosuko ya basata na kurushiwa vyupa stejini mlisimamisha shughuli zenu za kisiasa?!!!
 
Kwa kifupi Pressure kwa mama ni kubwa walitegemea siasa za kupita mlango wa nyuma ila kwa TATA LISU NA HECHE wamegonga mwamba.

Kuna uwezekano mkubwa LISSU kutoletwa mahakamani au jaji kutokomea kusikojulikana na kuanzia tarehe 23/4 mpaka 26/4 jiandae kwa matukio ya kijinga kwa WASANII wetu ya kuvujisha CONNECTION ili kupoteza tension za lissu.

Stay tuned
Kwa jinsi pressure ilivyo kubwa hawatathubutu kufanya kosa la kutomleta mahakamani
 
Back
Top Bottom