Pre GE2025 TEC yasema Muda unatosha Kufanya Mabadiliko kwenye changamoto zilizojitokeza kwenye chaguzi !!!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
26,419
80,697
Baraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa.

Aidha amesisitiza utawala wa demokrasia unapaswa kuwajali wapiga kura.

Acheni Janja ianja za muda hautoshi !!.


Tazama video hii



HAKI HAKI HAKI .
 
Juzi tu 1990s-2000s walihubiri kutochanganya dini na siasa,kisa CUF ilikua juu,leo mnakoroga dini na siasa,unafiki wa viwango vya juu
Hakuna Cha kukoroga, Maandiko matakatifu yanahitaji kukemea Dhuluma, uonevu .

Hapa hamna Cha Rais Muislam Wala nn.


Sasa BAKWATA nanyie njoon na Tamko la kutaka watu wanaopigania Haki waendelee kukamatwa, nakufunguliwa kesi, uchaguzi Usiwe huru na hali ,watu waendelee kutekwa na kuuliwa laivu laivuuu.


Tumechoka viongozi wa Dini wanafiki .
 
Wameongea,watakula pilau,pia, kitimoto,mambo yatabaki kama yalivyo,samia akitishia kuondoa ruzuku kwa kanisa hapo November,watamfuata kumbembeleza
Hamna Serikali yoyote Duniani inayoweza tikisa Hilo Kanisa la Katoliki.

Ndio Taasisi pekee Duniani yenye utajirikubwa kushinda Nchi yoyote Ile, wanaongozwa Kwa kua na Shehena kubwa ya DHAHABU

HAMNA .
 
Yesu alipofufuka alihubiri siasa!?..TEC wameichoka CCM au mtawala muislam!?..
Kwani walivyopingana na Magufuli, nae alikuwa muislamu?
Screenshot_20250420_095054_Chrome.jpg
 
Kwani wao wana haraka gani ya Uchaguzi?
Lissu aliwaambia uchaguzi uahirishwe maana hata bajeti bado haijapangwa, Wapeleke Mwaka 1 mbele kisha Katiba mpya ipatikane. Wanufaika ni wao CCM maana watabalia madrakani kwa mwaka 1 hadi 2 ya bure kabisa.
 
Yaani kanisa katoliki likalilie ruzuku?
Hulijui vizuri.
Kanisa fukara hilo, hutegemea hazina ya nchi na kunyonya masikini,1992 kupitia mawakala wake serikalini likaingia mkataba na serikali kupata ruzuku kwa hospital zake,2009 bajeti ya wizara ya afya 51% ikienda hospital za kanisa,linaingiza bidhaa bure bandarini, jakaya alipotishia kufuta hivyo vitu zikaanza kampeni za kubeza utawala wake
Padre sivalon kwenye kitabu chale kanisa katoliki na siasa tanzania kaweka wazi, bila serikali kutia mkono,miradi ya kanisa ingekufa,so acha kuji-mwambafy, hakuna kitu hilo kanisa,bora walokole na wasabato wanasonga kwa nguvu zao
 
Back
Top Bottom