TCU warahisisha zoezi la kuona selection

Nimetoka na c unahua smat 7 na6 zipo karb but detail zngne c zipo powa
 
Jaman nashukuruni sana wakuu tuliokua wote ktk kipindi kizima cha kujuzana updates za Nacte na Tcu. Sio siri ilifikia kipindi nilikata tamaa kabisa , lkn nashukuru kwa kua Leo nimepata nlichokua nakisubiri mda mrefu.. akhsanteni sana wana jamvi..tutakutana T.I.A
 
Watu wa equivalent mnaangaika na nn tcu wametoa link leo kwenye website yao kama umechaguliwa utajikuta kule tena wametoa link rahis sana namba yako ya form 4 na majina yako kama umo unapata jina lako bila zengwe sasa nyie mnakalia not yet confirmed shauri yenu....TCU NDIYO KILA KITU KULE MZIZI WA FITINA
 
angalia kwenye matokeo ya general yaliyotolewa na tcu mbona mi nimeandikiwa hivyo kwenye profile lakini chuo nimeopata

matokeo ya general nayatoa wap wakati nikiingiza namba zangu za 4m4 na majina yangu mawili ndo inajibu 'not found the aplicant either not selected or confirmed by institution?,nieleweshe ndugu
 
matokeo ya general nayatoa wap wakati nikiingiza namba zangu za 4m4 na majina yangu mawili ndo inajibu 'not found the aplicant either not selected or confirmed by institution?,nieleweshe ndugu

We kilaza weka jina lako apa ...naona unasumbua wakat vitu vinaeleweka
 
Sijafanya second round application, profile yangu iko processed successful
kati ya Arthi... Udsm.. Udom na Dit till now sijaona jina. Ndugu embu tusaidiane hapo...?

asante kiongozi nmeshaona nipo DIT huu ndio mfumo bora MAULA
 
Last edited by a moderator:
Msaada wenu unahitajika wadau, index no S1085/0011 mwaka aliomalza 2007 na jina lake ni Salama Hatib
 
Back
Top Bottom