TCRA: Hatutawalipa fidia wenye simu feki na wala hatutaongeza muda wa kuzima simu hizo

kuzima simu feki ni haki kwa serikali kwani ziliingia kwa magendo, wewe simu inaitwa panyasonic, nokla, sungusungi sonyo ericton alafu utakuta videmu vimebeba lisimu kubwa eti kanachati, tarehe 16 june ndio mwisho wa nyodo za kuchati.
Sasa kama ziliingia kwa magendo nani wa kulaumiwa?
 
Najihs sawa ninapoona simu za kichina aka fake zinapozimwa. Binafsi ninatatizo sipendelei sana mawasiliano yasio na mana ya watz. Weng wetu tunapoteza muda mwng ktk kuchat na kutumia simu zetu vibaya. wkt mwngn najistukia. labda sipo sawa. inawezekana ninamatatizo. Sipendi sana kuchat sn ama hata wazaz sipend kuchek nao mara kwa mara. Nimekuwa nikipendelea kuchat wiki mbili minimum siku 90 maximam.

GF mschana wangu napenda nichek nae niwapo na hamu ya kugonga. Zaid ya hapo sipendi usumbufu. Bahat mbya sana ktk love affairs napenda kusex vingi.ie kupiga mabao hadi manne. Aina ya mwanamke anaenikojolesha bahat njema pia anapenda.

Naumia sana ninapopoteza muda. Simu ni bora zizimwe, labda zitaokoa watoto wa chni ya miaka 18 ambao wanamudu kununua simu za vichina na kuharibu maisha yao, facebook,whtsup nk hawatapata tena.

Binafs yngu, tabia ya kuibiwa wanawake kwa sabb ya smu labda itaisha au kupungua. Baada ya kuzizma smu feki mbali na lengo la kiafya, lakini ujinga ulioenea utapungua
 
Haa et tutzazima simu. Iphone wameshindwa kuzima simu zenye icloud unloked au jailbroaken wao ndyo waweze kuzima simu. Hii ni ndoto kweupe kbsa
 
nahisi hata wewe hujui au hukukusudia kuandika ulichoandika
 
kuzima simu feki ni haki kwa serikali kwani ziliingia kwa magendo, wewe simu inaitwa panyasonic, nokla, sungusungi sonyo ericton alafu utakuta videmu vimebeba lisimu kubwa eti kanachati, tarehe 16 june ndio mwisho wa nyodo za kuchati.
Na wanavyobinua makalio na midomo wanapopiga "seli-fii" na hizo panyasonic zao.:)
 
Ni vyema muda uongezwe zaidi kama mnawajali watanzania..hali ngumu sana hata huku vijijini kwa sisi wakulima ndo simu zetu tunazozitegemea.

Mtaturudisha nyuma sana kimaendeleo endapo mtatuzimia simu zetu..elfu 40 au 50 ni ndogo sana ni pesa kubwa sana kuipata mpk kununua simu nyingine, vibarua vya tabu na bado tunahitajika katika mahitaji muhimu ya binadamu ya kila siku
 
kuzima simu feki ni haki kwa serikali kwani ziliingia kwa magendo, wewe simu inaitwa panyasonic, nokla, sungusungi sonyo ericton alafu utakuta videmu vimebeba lisimu kubwa eti kanachati, tarehe 16 june ndio mwisho wa nyodo za kuchati.
wenye kubeba lawama na laana ni TBS, TRA, TCRA, Immigration, polisi, nk, aidha kwa kushindwa kuthibiti ubora wa simu zinazoingia sokoni au kwa kuruhusu kuingia kwa magendo.
hao akina dada uliowakashifu na kuwafedhehesha wana makosa gani? Wao wanaitwa walaji (consumer), na kila mlaji analipia kodi, na hiyo kodi ndo mshahara wa walioruhusu bidhaa feki kuingia sokoni.
 
Wahalifu wengi wakiwamo majambazi na majangili walikuwa wanapenda simu hizi kwani haziwezi kufuatiliwa na mitambo ya TCCR hivyo kuepuka kukamatwa. Sasa watanaswa kilaini.

Hiyo ndiyo moja ya faida kuu ya kuzima simu feki. Zipo na zingine kibao.
 
Wale wenye michina anuani yangu ni 1.6 geita mwez wa sita kesho kutwa tu, tusije kupotezana
 
Watu wanasema hata TECNO ni fake , imekssje hii, mm nina TECNO H6 bado sina uhakika nayo, nijuzeni wenye uelewa wa brand hizo
 
Serikali ya kenya ipo makini sana....nakumbuka walio tunza karatasi za malipo ya simu feki walirudishiwa hela.....najua hili litafukuta hapa dodoma Bungeni.
Najiuliza hapa: Serikali kupitia mamlaka ya ubora wa bidhaa feki huvunja TV,REDIO zisizokuwa na ubora .....hizi simu feki ambazo hazina ubora zimetoka wapi??
Hahahaaa...mawakala wa mawaziri majibu tafadhali.
 
Yani haya TCRA ni majipu kweli sasa mnazima sijui watu wenye simu feki hawatapata huduma sasa kusema tena atakaekaa na simu feki kuchukuliwa hatua kisheria inahusu nini wakati huduma hapati? mnataka wawaletee kwenye jengo lenu.
Nimeshangaa kwa hilo kama wamesha-disable hizo simu kutumika hawataki watu wakanazo kama kumbukumbu/mapambo/watoto kuchezea .

Wanataka za nini?
 
Back
Top Bottom