TBC kipindi cha Duru za Siasa, ni unafiki mtupu. Mbona siasa za Tanzania mnazikwepa?

Ryoba ni musukule wa Samiah. Hana jipya zaidi ya kungoja mshahara mwisho wa mwezi.
 
TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
Tofauti yao na ccm ni majini tuu
 
Back
Top Bottom