Tazama, simba akikutokea ghafla porini kaa kama ulivyo na umtazame machoni!

Kila kitu ujasiri na moyo pia utake maana sio mchezo. Kuna Watu wengine wanaogopa hadi mende, mijusi
Mjusi siogopi mende naogopa tandu yaani hata nimuone kumuua siwezi halafu kama memuona labda yaan had nione kauliwa kafa ndipo nikae Kwa amani
 
Mjusi siogopi mende naogopa tandu yaani hata nimuone kumuua siwezi halafu kama memuona labda yaan had nione kauliwa kafa ndipo nikae Kwa amani
Hahahaha kweli huogopi sio uko bafuni unapiga kelele ukimuona tandu sio mchezo ila sio kusema wakumuogopa. Kuwa jasiri siku moja
 
We we hilo nimeshindwa!! Mara kibao najaribu kujivika ujasiri thubutuu kwanza nikimuona Na mm natafta upande wangu
hata kama kuna kazi ulikuwa unafanya utaicha mpaka tandu auliwe hahah. Jiandae kwenda Mikumi sasa kwenye simba
 
Ni hivyo. na ukiona anachimba mkwara kwa kuunguruma, wewe chachamaa huku ukipiga kelele na kumfukuza lazima ageuze alikotoka.

NOTE:awe ni mmoja tu na kama ni zaidi wawe eneo moja si wametawanyika.
 
hata kama kuna kazi ulikuwa unafanya utaicha mpaka tandu auliwe hahah. Jiandae kwenda Mikumi sasa kwenye simba
Kuna kipindi nilikwenda kigombe hapo nilipofikia wakanambia kabisa nyumba Ina tandu hii nikapata woga nikawaambia kama wapo sitolala kweli ndani ya nusu saa wameuliwa tandu wanne huwezi amini sikulala
 
Kwahiyo siku hiyo ulikesha Kisa unaogopa tandu wewe Madame S kuwa jasiri bhana. Ila pole sana my friend
 
Huyu kaka ni mtembeza watalii porini sasa katika shuguli zake hii siku simba akamtokea

3676520B00000578-0-Scared_stiff_Eric_Ubisi_tensely_clutching_his_chair_as_he_locks_-a-48_1469113192945.jpg

simba akaachana nae
367651BC00000578-0-All_clear_Unarmed_Eric_Ubisi_froze_as_the_big_cat_strolled_right-a-49_1469113192984.jpg

Kikawaida huwa inakua hivi
367651A400000578-0-Eric_was_with_fellow_rangers_David_Jacobs_and_Anton_van_Loggeren-a-50_1469113193106.jpg
Haya wakati unamtazama mwingine akatokea kwa nyuma inakuwaje hapo?!!!!! Ujasiri extra unahitajika kwa kweli.
 
Hahaha wameshauri ujikaushe tu mkuu asa mateke yanini....kawaida ya paka huwa nikupiga vibao (kelb) ...asa huyu ni big cat.. hicho kibao chake!! kwanza tazama mkono wake huyo simba halafu linganisha na mguu wa jamaa.
Ukianzisha mateke ndio ujue umeliwa....hahaha
yaani ukimwangalia alivyojikausha, mi nilifikiri ni sharks tu ndio unajikausha haha
 
Back
Top Bottom