Tazama sifa za wanafunzi wa elimu ya juu na vyuo wanavyosoma

Kile chuo kikuu cha waislamu kihonda morogoro sijajua sifa zake..!!
 
20 IPO sahihi.


 
Pale DIT kuna msemo mmoja hivi kwamba "Elimu sio ngumu labda uifanye kuwa ngumu wewe mwenyewe kwa sababu kila mtu ni KIPANGA!". Wao wanaamini hivyo kwamba kila mtu pale ni KIPANGA.

DIT -Home Of Engineers!
 
Nikupongeze uko vizur kusoma saikolojia ya wanachuo na chuo chenyewe na elimu inayotolewa hapo!
Umesema kweli kabsa
 
Nikupongeze uko vizur kusoma saikolojia ya wanachuo na chuo chenyewe na elimu inayotolewa hapo!
Umesema kweli kabsa
Mm wakati nasoma , UDSM wao walikuwa wanajiona bora na wapo juu, wakat sisi chuo chetu tulikuwa tunawaona washamba wa mjini, wasongo, wananjaa Kali, maskin wa kutupwa, wametoka bush hawajielewi wanakremu tu masomo, viatu wanavaa makata mbuga(taili za magar)
Chuo chao na chetu wanafunz zilikuwa haziivi kabsa japo jij moja
Sisi ndo tulikuwa tunajiona watoto wa mjini na ndo kila kitu!


.....alalae haamshwi,
..huwezi jua wewe mchimbachumvi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…