KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,146
Namba 18 ukweli mtupu
Hakuna chuo chenye shule ngumu hapa nchini kama DITHapo namba 7 hajakosea mkuu kile chuo cha DIT Siyo Mchezo
sasa huyo mpaka amalize,si atakua kabakisha miaka mitano tu ya kustaafu?Hapo kwa Jordan university upo sawa kabisa Nina ndugu ana miaka 52 mmama yuko second year
ujanja wao unawasaidiaje kwa mfano?Tanzania ni Dsm;Dsm ni Posta;IFM ipo Posta,downtown kabisa,
...wanaachaje sasa kuwa wajanja kwa mfano!
Course gan mkuu mum.Nasubiri MUM
SIFA ZA WANAFUNZI NA CHUO KINACHOONGOZA.
1. Wanaongoza kwa misuli mirefu na G.P.A za ajabu.
- SUA.
2. Wanaosoma kwenye mazingira magumu japo ni watu mihimu sana katika nchi.
- MUHIMBILI.
3. Wanaojifanya wao ni bora kuliko wanafunzi wengine wa vyuo vingine.
- UDSM.
4. Wanao lipa hela nyingi ya ada na vyuo vyao havina viwango.
-St. Joseph.
5. Wanao ongoza kutembea umbali mrefu na kuwa na usumbufu mkubwa wa usafiri na shida kubwa ya maji.
- UDOM
6. Wanao jiona wajanja kuliko vyuo vingine vyote.
- IFM.
7. Ambao hawavumi hila wanakula elimu ngumu kuliko.
- DIT.
8. Wanao jifanya wako busy kuliko vyuo vyote.
- MZUMBE.
9. Wanao dharaulika na wanakubali kudharaulika.
- SAUTI.
10. Wanao somea vitu muhimu ila hawajiamini kuwa wao pia ni muhimu.
-KCMC AND BUGANDO.
11. Wanaosoma elimu simplified na kujidai ni kama MUHAS.
- KAIRUKI.
12. Ambao hawajielewi, hata chuo hakiwaelewi kwa nini wanakubali kukaa mitaani mpaka leo, wakati chuo jirani kina mpaka mabus ya kuwarudisha hostel bure.
- ARDHI.
13. Wanao danganywa wao ni watu muhimu wakati si kweli.
- NIT.
14. Wazembe na huwa elimu yao yaweza ikawa jipu pia.
- KAMPALA.
15. Chuo kinachoongoza kwa kuwa na watu wazima wengi kuliko.
- JORDAN.
16. Wanaongoza kufata mkumbo wa vyuo vingine town.
- TUMAINI.
17. Wanao jifanya wazungu kisa mkoa wao unawatalii wengi.
- IAA.
18. Utasajiliwa hata kama hauna vigezo.
- CBE.
19. Wanasoma course ngumu kama engineering lakini hawapati ajira.
- MUST AND MBEYA UNI.
20. Chuo kwa ajili ya watu wenye majukumu mengi.
-OPEN.
21. Wanasoma wengi lakini mwajili mkuu ni serikali.
- MIPANGO.
22. Wanaosoma kwa sababu ya kuridhisha wazazi.
- TIA AND KISANJE.
KAMA CHUO CHAKO HAKIPO UJUE UTAFITI UNAENDELEA.
By
Mdakuzi Mkuu - Dodoma.
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!Hapo kwa Jordan university upo sawa kabisa Nina ndugu ana miaka 52 mmama yuko second year
.....alalae haamshwi,ujanja wao unawasaidiaje kwa mfano?
Mm wakati nasoma , UDSM wao walikuwa wanajiona bora na wapo juu, wakat sisi chuo chetu tulikuwa tunawaona washamba wa mjini, wasongo, wananjaa Kali, maskin wa kutupwa, wametoka bush hawajielewi wanakremu tu masomo, viatu wanavaa makata mbuga(taili za magar)Nikupongeze uko vizur kusoma saikolojia ya wanachuo na chuo chenyewe na elimu inayotolewa hapo!
Umesema kweli kabsa
SIFA ZA WANAFUNZI NA CHUO KINACHOONGOZA.
1. Wanaongoza kwa misuli mirefu na G.P.A za ajabu.
- SUA.
2. Wanaosoma kwenye mazingira magumu japo ni watu mihimu sana katika nchi.
- MUHIMBILI.
3. Wanaojifanya wao ni bora kuliko wanafunzi wengine wa vyuo vingine.
- UDSM.
4. Wanao lipa hela nyingi ya ada na vyuo vyao havina viwango.
-St. Joseph.
5. Wanao ongoza kutembea umbali mrefu na kuwa na usumbufu mkubwa wa usafiri na shida kubwa ya maji.
- UDOM
6. Wanao jiona wajanja kuliko vyuo vingine vyote.
- IFM.
7. Ambao hawavumi hila wanakula elimu ngumu kuliko.
- DIT.
8. Wanao jifanya wako busy kuliko vyuo vyote.
- MZUMBE.
9. Wanao dharaulika na wanakubali kudharaulika.
- SAUTI.
10. Wanao somea vitu muhimu ila hawajiamini kuwa wao pia ni muhimu.
-KCMC AND BUGANDO.
11. Wanaosoma elimu simplified na kujidai ni kama MUHAS.
- KAIRUKI.
12. Ambao hawajielewi, hata chuo hakiwaelewi kwa nini wanakubali kukaa mitaani mpaka leo, wakati chuo jirani kina mpaka mabus ya kuwarudisha hostel bure.
- ARDHI.
13. Wanao danganywa wao ni watu muhimu wakati si kweli.
- NIT.
14. Wazembe na huwa elimu yao yaweza ikawa jipu pia.
- KAMPALA.
15. Chuo kinachoongoza kwa kuwa na watu wazima wengi kuliko.
- JORDAN.
16. Wanaongoza kufata mkumbo wa vyuo vingine town.
- TUMAINI.
17. Wanao jifanya wazungu kisa mkoa wao unawatalii wengi.
- IAA.
18. Utasajiliwa hata kama hauna vigezo.
- CBE.
19. Wanasoma course ngumu kama engineering lakini hawapati ajira.
- MUST AND MBEYA UNI.
20. Chuo kwa ajili ya watu wenye majukumu mengi.
-OPEN.
21. Wanasoma wengi lakini mwajili mkuu ni serikali.
- MIPANGO.
22. Wanaosoma kwa sababu ya kuridhisha wazazi.
- TIA AND KISANJE.
KAMA CHUO CHAKO HAKIPO UJUE UTAFITI UNAENDELEA.
By
Mdakuzi Mkuu - Dodoma.
.....alalae haamshwi,
..huwezi jua wewe mchimbachumvi!