Tazama mchoro wa stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani Bukoba itakayojengwa muda si mrefu

Wahaya washenzi sana..wameshindwa kujenga stendi yao ya mkoa..ila kila siku kukomaa mkoa wa chato usianzishwe..acheni roho mbaya na chuki za kipumbafu..

#MaendeleoHayanaChama
 
Hiyo migorofa mingi hivo ya nn mnachezea hela tu stendi yenyewe inahudumia watu hawazidi 500 kwa siku.
 
Habari zenu wanajamvi kumekuwa na malalamishi kwa uchakavu na ubovu Wa stendi ya mabasi mjini bukoba.ila sasa tatizo limeanza kutatuliwa baada ya halmashauri kutenga kiasi kikubwa cha pesa kutakachojenga stendi nyingine mpya takriban km5 nje ya mji Wa bukoba katikati maeneo ya kyakairabwa uganda road.

Stend hiyo itakuwa ya mabasi yaendayo mikoani tu.na daladala zitabaki ilipo stendi ya sasa lakini itakarabatiwa kuwa ya kisasa zaidi na huku kukitengenezwa stend nyingine maeneo ya machinjioni kwa magari ya kashozi na bugabo.manispaa hiyo itajenga soko kuu jipya na kashai na kujenga miundombinu ya mji huo kama round abouts ,barabara kupanuliwa na kadhalika,tazama stendi itakavyokuwa
ba353d464692b6938290cfaada49b07b.jpg

nadhani hii ndo itakuwa mwisho Wa porojo na mabezo kwa wana bukoba maana inasikitisha sana
872732c53ee1f88eb547819e4726c188.jpg

[/IMG]
Mtaishia kuona michoro tuu nothing on the ground 🤣🤣
 
Wahaya washenzi sana..wameshindwa kujenga stendi yao ya mkoa..ila kila siku kukomaa mkoa wa chato usianzishwe..acheni roho mbaya na chuki za kipumbafu..

#MaendeleoHayanaChama
Hivi Stendi ya msamvu ilijengwa na Wapogolo na Walugulu? Ya Singida ilijengwa na Wanyiramba? Ya Dar ilijengwa na Wazaramo?
 
Hyo stendi had Leo iko wap?
Watu wa bukoba kaz yao kuvimba kwenye mikoa ya watu ila ukifika kwao huko kagera ni pa kipuuzi haswa
 
Hivi Stendi ya msamvu ilijengwa na Wapogolo na Walugulu? Ya Singida ilijengwa na Wanyiramba? Ya Dar ilijengwa na Wazaramo?
Tukisema bkb tunamaanisha wahaya..baraza la madiwani ni wahaya mbunge mhaya..wanashindwaje ku force hili lifanyike.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom