Tax Management Officer II vs Custom Officer II

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
9,102
17,245
Kwema wakuu?

Kuuliza sio ujinga.hivi kati ya Tax management officer ii vs custom officer ii

1. Ipi ina mitihani ya mchujo migumu?
2. Ipi ni nzuri kufanyia kazi.
3. Kuna tofauti yoyote ya kimaslahi?
4. Ipi yenye changamoto nyingi?
 
Mkuu,hivi wewe mbona huwa hutoi ushauri kabisa?.kila uzi ninaokusoma,huwa tu unaandika ngoja waje kukupa muongozo.leo naomba na wewe muongozo wako bana.
Huyu jamaa ni kama roboti, japo Hana Tabia ya kubeza watu na hata ukipaniki kwake hana shobo nawe.. Ila duuh jamaa ni undefined l
Kabisa
 
Mkuu,hivi wewe mbona huwa hutoi ushauri kabisa?.kila uzi ninaokusoma,huwa tu unaandika ngoja waje kukupa muongozo.leo naomba na wewe muongozo wako bana.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
TMO ina mtihani ngumu wa mchujo kwa sababu ina mambo mengi mno kuliko CO ijapokuwa TMO ina changamoto sana kuliko CO kwa sababu unagombana na Wafanyabiashara kila kukicha
 
Back
Top Bottom