grand casual
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 255
- 161
Tumia stabilizer! Ili u-prove kama radio na TV yako mzima nenda navyo kajaribu maeneo ambayo Umeme unatumika sana! From my experience hali hiyo inazidi Muda wa jioni! Ambapo watu wengi wanatumia Umeme!Nimejaribu ku disconnect kila kitu ila bado muungurumo upo