Mtali
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 3,622
- 2,857
Halotel wapo vizuri sana ukilinganisha na mitandao mingine inayopatikana hapa Tz. Kwenye data wapo vizuri sana, Voice mail and so on..... kwakweli mabepari wajipange upya. Hata walio nunua hisa za mitandao flani mjiandae kisaikolojia.wafanyakazi wa tigo na voda bana tangu muambiwe mnapunguzwa wafanyakazi basi kutwa kutunga figisu kwa halote acheni umbuzi mbona rai tunatumia halotel fresh tuu