Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Hukusoma uzi kabla ya kujibu?? Mtoa Mada amesema mgonjwa ameshatumia dawa tofauti tofauti!!
Nmesoma nkaelewa ndo maana nmemwambia awe specific kwanza even though katumia dawa maana kuna fungal infection zipo za aina nying m.f oral candidiasis,skin,vaginal,systemic etc ukijua ni rahis kumshaur umenipata mkuu
 
tatizo LA fungus limekuwa tatizo kubwa sana yan watu wanamwaga pesa zao kwa kununua dawa za kila INA lakini WAP...yan ukitaka kuamini jarib kwenda kila duka LA dawa unalolijua utaishia kupewa gresiofulvin,amphotelicin B,ketoconazole tabs na cream yake, fluconazole n.k..lakini kiukweli hizo dwa ni slow reacting drugs compared na fungal resistivity...kuna dawa kama fluconazole 200gm na Tarbenafile ndizo zinaweza kabiliana na tatizo hill but ni so expensive sana kwa mf .fluconazole 200gm inauzwa kidonge kimoja 2000 na unatakiwa utumie dozi moja complete yenye vidonge 15 so u can see ver very expensive...na ukiajidanganya kutumia vidonge 7 hutapona mpka umalize dozi...hata kwa terbinafile napo ni hivo hivo kama unaweza nenda medical shop mwambie akupe fluconazole 200 gm na sio 150gm yan hapo rudi unipe jibu na usidanganywe kupewa 150 gm ujue Aziponi...

but pia kuna hi I dawa ambayo ndo the best than ever known to most of people...yan watu wanakimbilia kununua dawa za fungas lakini wahaponi...fungus wanapovami mwili wako ni ngumu kutoka kama mwili wako utakuwa na chunus mgongoni au sehemu fungus zilipo...pale kunakuwa na multiple infection au utapata double infection ambayo kwa sasa tuliosomea mambo a skin I diseases au dermatologist tunaita una bacterial fungal infection so kama una MBA au fungas zilizoshindikana usitumie tena dawa yoyote ile ya fungas ila kuna dawa moja hivi ambayo kiukweli ndo itamaliza kila kitu inaitwa Septrin....

chukua septrin za 1000 halfu chukua mafuta madgo ya 300 aina ya baby care au Vaseline..(tafadhali usichanganye na lotion)
saga ile dawa au vile vidonge vyote mpka hakikisha vimekuwa unga haswa...
halafu changanyana mafuta mgando yako kwenye kikope like ..hakikisha unafanya mkologo wa maana...

then ukimaliza use unajipaka asbuhi kila unapomaliza kuoga unaenda kufnya mishe zako halafu jioni unaoga tena kisha unapaka tena...
yani for sure I give you two weeks hakuna hata DOA litakalobaki hapo na utakuja kutueleza juu ya maendeleo yako..

ukiona hujapona fungas badaa ya hiyo kazi bas namba uje hapa JF na azisha Uzi mwingine kwa kunitaji jina langu ili mnihoji juu ya fake advice I give you...
for sure hutaamini machoni mwako yani ni dawa itakayokugalimu kama 1000 lakini utakuwa umepona milele narudia tena milele na milele badala ya kuendelea kutumia dawa ambazo ni garama kubwa sana lakini hakuna lolote...only septrin is the final drug of choice for bacterial fungal infection...
naomba kuanzi Leo usinunue dawa yoyote ile ya fungal make kwanza izo dawa ni very very toxic sana kadri unapozidi kuzitumia..wale wataalamu wa afya watakubaliana na Mimi kuwa ketoconazole is the best liver inducing toxic drug na Mara nying husababisha kidney failure kwa akina mama wajawazito hata felt death can occur..ndo mana tumeitoa kwenye normal drug routine uses...

cha msingi ndg yangu kafanya kama nilivokuambia na wengine ambao mlikuwa hamjui juu ya siri kubwa ya septrin kutibu chronic fungal infections including systemic spread au local spread ila dawa take ndo hiyo..
nakutakia mafanikio mema mkuu...
uaiaite kunipa mrejesho ...
 
uko vizuri.
 
Asante.hata Mimi nitafuata ushauri wako but kwa mfano hiyo fangasi haiko tu kwa nje but na ndani? will it be of great help kupaka tu the affected area?
 
paka sehemu zote tena ikiwezekana mwili mzima ili ipige sehemu yote ..yan hakuna hata DOA litakalobakia...ni vizur ujipake sehemu zote simply bcoZ unaweza ikapiga affected area but kumbe sehem Zingine ilishaanza kuspread....kwa kuwa unachanganya na mafuta just ifanye kama mafuta ya kujipaka mwili mzims..hutajutia kwa mafanikio
 
nashukuru.kwa mfano unatoka na uchaffu Ambao unaweza kuwa no fangasi pia.je dawa yake no ipi
 
Je mba wa kichwani nao unaweza tumia mchanganyiko huu
 
uchafu upon wa aina nyingi unaotoka au unaowapata watu wengi..jaribu kuweka wazi..unaweza ukawa uchafu wa UTI au magonjwa ya zinaaa..karibu kuweka waz au niinbox private..tutadiscus
 
Je mba wa kichwani nao unaweza tumia mchanganyiko huu
yap..exactly..but hakikisha unatoa nywele zote ili dawa ipige vizuri...but kmaa ni MBA wa kawaida kama mapunye waweza tumia sabuni take inaitwa Delto savron..inauzwa shilingi 4000 mpka 5000...ukisema del to watakupa zile Za kawaida za 1500,..!nenda famac ulizia naomba delto yenye savron...IPO tarmac tu...
 
tatizo LA fungus limekuwa tatizo kubwa sana yan watu wanamwaga pesa zao kwa kununua dawa za kila INA lakini WAP...yan ukitaka kuamini jarib kwenda kila duka LA dawa unalolijua utaishia kupewa gresiofulvin,amphotelicin B,ketoconazole tabs na cream yake, fluconazole n.k..lakini kiukweli hizo dwa ni slow reacting drugs compared na fungal resistivity...kuna dawa kama fluconazole 200gm na Tarbenafile ndizo zinaweza kabiliana na tatizo hill but ni so expensive sana kwa mf .fluconazole 200gm inauzwa kidonge kimoja 2000 na unatakiwa utumie dozi moja complete yenye vidonge 15 so u can see ver very expensive...na ukiajidanganya kutumia vidonge 7 hutapona mpka umalize dozi...hata kwa terbinafile napo ni hivo hivo kama unaweza nenda medical shop mwambie akupe fluconazole 200 gm na sio 150gm yan hapo rudi unipe jibu na usidanganywe kupewa 150 gm ujue Aziponi...

but pia kuna hi I dawa ambayo ndo the best than ever known to most of people...yan watu wanakimbilia kununua dawa za fungas lakini wahaponi...fungus wanapovami mwili wako ni ngumu kutoka kama mwili wako utakuwa na chunus mgongoni au sehemu fungus zilipo...pale kunakuwa na multiple infection au utapata double infection ambayo kwa sasa tuliosomea mambo a skin I diseases au dermatologist tunaita una bacterial fungal infection so kama una MBA au fungas zilizoshindikana usitumie tena dawa yoyote ile ya fungas ila kuna dawa moja hivi ambayo kiukweli ndo itamaliza kila kitu inaitwa Septrin....

chukua septrin za 1000 halfu chukua mafuta madgo ya 300 aina ya baby care au Vaseline..(tafadhali usichanganye na lotion)
saga ile dawa au vile vidonge vyote mpka hakikisha vimekuwa unga haswa...
halafu changanyana mafuta mgando yako kwenye kikope like ..hakikisha unafanya mkologo wa maana...

then ukimaliza use unajipaka asbuhi kila unapomaliza kuoga unaenda kufnya mishe zako halafu jioni unaoga tena kisha unapaka tena...
yani for sure I give you two weeks hakuna hata DOA litakalobaki hapo na utakuja kutueleza juu ya maendeleo yako..

ukiona hujapona fungas badaa ya hiyo kazi bas namba uje hapa JF na azisha Uzi mwingine kwa kunitaji jina langu ili mnihoji juu ya fake advice I give you...
for sure hutaamini machoni mwako yani ni dawa itakayokugalimu kama 1000 lakini utakuwa umepona milele narudia tena milele na milele badala ya kuendelea kutumia dawa ambazo ni garama kubwa sana lakini hakuna lolote...only septrin is the final drug of choice for bacterial fungal infection...
naomba kuanzi Leo usinunue dawa yoyote ile ya fungal make kwanza izo dawa ni very very toxic sana kadri unapozidi kuzitumia..wale wataalamu wa afya watakubaliana na Mimi kuwa ketoconazole is the best liver inducing toxic drug na Mara nying husababisha kidney failure kwa akina mama wajawazito hata felt death can occur..ndo mana tumeitoa kwenye normal drug routine uses...

cha msingi ndg yangu kafanya kama nilivokuambia na wengine ambao mlikuwa hamjui juu ya siri kubwa ya septrin kutibu chronic fungal infections including systemic spread au local spread ila dawa take ndo hiyo..
nakutakia mafanikio mema mkuu...
uaiaite kunipa mrejesho ...
Asante Brivigy kwa ushauri

Naomba niongezee japo sio taaluma yangu.

Kama unajua au umegunduliwa una fungus, pamoja na dawa nzuri unazopata kama unakula vitu vya sukari kama soda, keki na vitu vitamu vitamu basi ni sawa na kuchochea hao fungus. Hii ni kweli kama una fungus wa yeast au candida.

Brivigy atanirekebisha kama nimepotoka.
 
kabisa upon sahihi mkuu...pia kama ukiwa kwenye dozi ya systemic fungal infection..it is prohibited kutumia vyakula vya mafuta sana pia....asante mkuu...
 
Sawa mkuu asante kwa somo lako.VP na Hawa fungus wa pembeni ya mapaja?na VP vile vishilingi vinawatokea sana watoto kichwani?dawa hii hii itatibu?

Pia nisaidie..tukienda hospital wanasema tatizo lipo kwenye damu..na wewe unasema tupake kwa nje!!itatibu VP?naomba nisaidie.

Pia kuna Jamaa yangu anatatizo la lachen pranus is like fungus but ni skin infections ambao imemshambulia sana kuanzia mapajani..VP anaweza paka hiyo?kwa muda huu anatumia dawa inaitwa NADOXIN cream kupaka na vidonge vya prednsoline.

Asante.
 
tatizo LA fungus limekuwa tatizo kubwa sana yan watu wanamwaga pesa zao kwa kununua dawa za kila INA lakini WAP...yan ukitaka kuamini jarib kwenda kila duka LA dawa unalolijua utaishia kupewa gresiofulvin, amphotelicin B, ketoconazole tabs na cream yake, fluconazole n.k..lakini kiukweli hizo dwa ni slow reacting drugs compared na fungal resistivity...kuna dawa kama fluconazole 200gm na Tarbenafile ndizo zinaweza kabiliana na tatizo hill but ni so expensive sana kwa mf .fluconazole 200gm inauzwa kidonge kimoja 2000 na unatakiwa utumie dozi moja complete yenye vidonge 15 so u can see ver very expensive...na ukiajidanganya kutumia vidonge 7 hutapona mpka umalize dozi...hata kwa terbinafile napo ni hivo hivo kama unaweza nenda medical shop mwambie akupe fluconazole 200 gm na sio 150gm yan hapo rudi unipe jibu na usidanganywe kupewa 150 gm ujue Aziponi...

but pia kuna hi I dawa ambayo ndo the best than ever known to most of people...yan watu wanakimbilia kununua dawa za fungas lakini wahaponi...fungus wanapovami mwili wako ni ngumu kutoka kama mwili wako utakuwa na chunus mgongoni au sehemu fungus zilipo...pale kunakuwa na multiple infection au utapata double infection ambayo kwa sasa tuliosomea mambo a skin I diseases au dermatologist tunaita una bacterial fungal infection so kama una MBA au fungas zilizoshindikana usitumie tena dawa yoyote ile ya fungas ila kuna dawa moja hivi ambayo kiukweli ndo itamaliza kila kitu inaitwa Septrin....

chukua septrin za 1000 halfu chukua mafuta madgo ya 300 aina ya baby care au Vaseline..(tafadhali usichanganye na lotion)
saga ile dawa au vile vidonge vyote mpka hakikisha vimekuwa unga haswa...
halafu changanyana mafuta mgando yako kwenye kikope like ..hakikisha unafanya mkologo wa maana...

then ukimaliza use unajipaka asbuhi kila unapomaliza kuoga unaenda kufnya mishe zako halafu jioni unaoga tena kisha unapaka tena...
yani for sure I give you two weeks hakuna hata DOA litakalobaki hapo na utakuja kutueleza juu ya maendeleo yako..

ukiona hujapona fungas badaa ya hiyo kazi bas namba uje hapa JF na azisha Uzi mwingine kwa kunitaji jina langu ili mnihoji juu ya fake advice I give you...
for sure hutaamini machoni mwako yani ni dawa itakayokugalimu kama 1000 lakini utakuwa umepona milele narudia tena milele na milele badala ya kuendelea kutumia dawa ambazo ni garama kubwa sana lakini hakuna lolote...only septrin is the final drug of choice for bacterial fungal infection...
naomba kuanzi Leo usinunue dawa yoyote ile ya fungal make kwanza izo dawa ni very very toxic sana kadri unapozidi kuzitumia..wale wataalamu wa afya watakubaliana na Mimi kuwa ketoconazole is the best liver inducing toxic drug na Mara nying husababisha kidney failure kwa akina mama wajawazito hata felt death can occur..ndo mana tumeitoa kwenye normal drug routine uses...

cha msingi ndg yangu kafanya kama nilivokuambia na wengine ambao mlikuwa hamjui juu ya siri kubwa ya septrin kutibu chronic fungal infections including systemic spread au local spread ila dawa take ndo hiyo..
nakutakia mafanikio mema mkuu...
uaiaite kunipa mrejesho ...

Mkuu ushauri wako ni mzuri sana tena sana nimeupenda ila ningependa kuuliza swali la nyongeza mimi nina mwanamke wangu alikuwa akitokwa na uchafu mweupe ukeni na hili nalionaga mara nyingi nikiwa nae faragha yani unatoka wakati mwingine mwingi wakati mwingine kidogo ila ni mweupe mpaka tunachafua shuka yani imefika kipindi nikukutananae kimwili mpaka tutandike walau kanga kwenye kitanda ili gemu liendelee tusichafue shuka nikaamua kumpeeka hospital kupima wakasema hizo ni fangas basi wakampa dawa inaitwa gynest CLOTRIMAZOLE PESSARIES BP 100 gm.

Nividonge ambavyo unaingiza kimoja kimoja kwenye uke kila siku amemaliza doze lakini tatizo bado lipo.

Je kwa tatizo kama hili atumie dawa gani ili hii hali itoweke kabisa.

Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom