Tatizo la lugha kwa waandishi wa habari; Gazeti la Guardian la IPP Media ladokeza kwamba Joseph Kabila, Kikwete, Uhuru Kenyata hawapo tena duniani!

Synthesizer

Platinum Member
Feb 15, 2010
12,147
21,165
Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai!

Haya ndiyo waliyosema Guardian.

Museveni surpasses 18 EAC counterparts in longevity​

Nairobi News now looks at which presidents came, worked with Museveni at one point, and later died; leaving President Museveni still holding on to the seat of power in Kampala.
  • In Burundi, President Museveni outlived former presidents Jean Baptiste Bagaza, Pierre Buyoya, Melchior Ndadaye, Cyprien Ntaryamira and Pierre Nkurunzinza.
  • In Congo, Museveni outlived former presidents Mobutu Seseseko, Laurent Desire Kabila and his son Joseph Kabila.
  • In Kenya, he worked and outlived former presidents Daniel Moi, Mwai Kibaki, and Uhuru Kenyatta
  • In Rwanda, Museveni outlived former president Theodore Sindikubwabo.
  • In South Sudan, he worked with and outlived former president John Garang
  • In Tanzania, he worked with and outlived former presidents Ali Hassan Mwinyi (now deceased) Benjamin Mkapa who died in 2020, Jakayo Kikwete and John Magufuli who died in 2021.
  • In Somalia, Museveni worked with and outlived former presidents Abdullahi Yusuf Mohammed who died in 2012 and Ali Mahdi Muhammad who died in 2021.
Source: Museveni surpasses 18 EAC counterparts in longevity | The Guardian
 
1730363245357.png

Uganda President Yoweri Museveni (left) Samia Suluhu (centre) and William Ruto during a meeting in ZanzIbar.

With Tanzania's general elections in 2025, is it likely for Museveni to outlive president Samia if she loses her bid for the presidency while he is still president of Uganda? President Samia will be very sad if that happens, or she may choose to become president of Zanzibar and get another opportunity to once again work with president Museveni, after he has outlived her!
 
Vyuo vya saint Kayumba ndio matokeo yake haya
 
Huyu mwandishi taahira kweli, hakui lugha au anafanya kusudi? Au ‘outlive’ anamaanisha ‘political life’ na sio ‘biological life’?
 
Museveni surpasses 18 EAC counterparts in longevity
Nairobi News now looks at which presidents came, worked with Museveni at one point, and later died; leaving President Museveni still holding on to the seat of power in Kampala
Tatizo liko hapa. Uko kwingine hakuna shida sana kama alimaanisha kisiasa.
 
Huyu mwandishi taahira kweli, hakui lugha au anafanya kusudi? Au ‘outlive’ anamaanisha ‘political life’ na sio ‘biological life’?
mi ni mswahili wa kujifunza, ninapoandika kiingereza lazima niwe na dictionary mbili tatu za kiingereza zinisaidie kuandika kiingereza fasaha kabla kazi yangu haijaenda kwa mhariri akafanye yake. Siwezi kujitia mjuaji wa lugha niliyojifunza ukubwani sikuzaliwa nayo
 
  • In Tanzania, he worked with and outlived former presidents Ali Hassan Mwinyi (now deceased) Benjamin Mkapa who died in 2020, Jakayo Kikwete and John Magufuli who died in 2021.
Hapo kuna utata gani?

outlive
/ˌaʊtˈlɪv/

survive or last beyond (a specified period or expected lifespan).
"the organization had largely outlived its usefulness"
 
Shida ni kwamba, Mr. Museven amekaa madarakani kwa muda mrefu,amefanya kazi na Marais mbalimbali EAC then tawala za hao marais zilifkia ukomo (kufa) ili hali yeye bado anahodhi kiti cha Urais nchini mwake. Mwandishi yuko sawa!
 
Huyu mwandishi taahira kweli, hakui lugha au anafanya kusudi? Au ‘outlive’ anamaanisha ‘political life’ na sio ‘biological life’?
Unaona eeh, hapaswi kuandika kwa namna inaacha maswali kwa wasomaji. Niliposoma mara ya kwanza nilidhani Joseph Kabila alishakufa, nilipoona Kikwete nikajua tatizo ni ukanjanja tu

Hivi ukisoma hapa utaelewaje? Si utajua Kikwete na Magufuli walikufa 2021? Na ameshasema oulived former presidents!

In Tanzania, he worked with and outlived former presidents Ali Hassan Mwinyi (now deceased) Benjamin Mkapa who died in 2020, Jakayo Kikwete and John Magufuli who died in 2021.
 
Shida ni kwamba, Mr. Museven amekaa madarakani kwa muda mrefu,amefanya kazi na Marais mbalimbali EAC then tawala za hao marais zilifkia ukomo (kufa) ili hali yeye bado anahodhi kiti cha Urais nchini mwake. Mwandishi yuko sawa!
Sasa wewe unaleta politiki kwenye issue ya language!
 
  • In Tanzania, he worked with and outlived former presidents Ali Hassan Mwinyi (now deceased) Benjamin Mkapa who died in 2020, Jakayo Kikwete and John Magufuli who died in 2021.
Hapo kuna utata gani?

outlive
/ˌaʊtˈlɪv/

survive or last beyond (a specified period or expected lifespan).
"the organization had largely outlived its usefulness"
Wewe ni Petro mwenyewe au mwingine?

Outlive, in the context of living thind, simply means something dying before the other. Outlive, in the context of inanimate things, can imply continued existence that has no benefit, obsolete

Unachosema hapa pia ni kwamba Kikwete and Magufuli died in 2021, kwa sababu hakuna differentiation iliyofanyika kati yako inayo relate na dying in 2021, separation kama the latter died in 2021, japo isingesaidia, maana ingeonyesha one died in 2021, but no date is given when the other one died
 
Vyuo vya saint Kayumba ndio matokeo yake haya
Hebu fikiria, hata kama alitaka kutumia outlive katika context isiyo ya kufa, hapa utaelewaje kama huwafahamu Uhuru, Kibaki na Moi? Utaamuaje yupi amekufa na yupi yuko hai?

In Kenya, he worked and outlived former presidents Daniel Moi, Mwai Kibaki, and Uhuru Kenyatta

Anakuwa kama TANROADS ambao ili kuendesha gari safari ya Dodoma- Iringa lazima ujue kila shimo liko wapi kama hutaki kupata ajali!
 
View attachment 3139704
Uganda President Yoweri Museveni (left) Samia Suluhu (centre) and William Ruto during a meeting in ZanzIbar.

With Tanzania's general elections in 2025, is it likely for Museveni to outlive president Samia if she loses her bid for the presidency while he is still president of Uganda? President Samia will be very sad if that happens, or she may choose to become president of Zanzibar and get another opportunity to once again work with president Museveni, after he has outlived her!
Hapana hakuna makosa kiuandishi. To OUTLIVE SOMEONE maana yake ni kuwa katika utumishi huo kwa muda mrefu kuliko huyo unaye m- outlive. Mfano WOMEN DO ALWAYS OUTLIVE MEN. Ni ukweli usiopingika kwamba wanawake huishi miaka mingi kuliko wanaume ( Mke na Mume) Museveni ndiye Rais katika Afrika Mashariki aliyedumu katika madaraka ya Urais kuliko marais wote kwahiyo ame wa-outlive marais kariba wote.
 
Sasa wewe, unatoa mfano wa WOMEN DO ALWAYS OUTLIVE MEN, na unakiri wanawake wanaishi muda mrefu zaidi, halafu unakataa outlive sio kuishi zaidi? Jamani hivi vyuo mnavyosema, nani ni waalimu wenu?

Kwa mfano, kama ungekuwa huwajui Moi, Kibaki na Uhuru, ungetafsirije hii sentensi?

In Kenya, he worked and outlived former presidents Daniel Moi, Mwai Kibaki, and Uhuru Kenyatta

Au hii; In Kenya, he worked and outlived former presidents Daniel Moi and Mwai Kibaki

Sasa nimejua kwa nini Tanzania tunapigwa sana kwenye mikataba ya kimataifa! Mnasoma kitu na kujipa tafsiri yenu wenyewe, badala ya kuwa na conventional interpretation! Hapo ningekuwa mwalimu wako ningekupa F.
 
Back
Top Bottom