Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,570
- 37,940
Kwa hyo wamezungumza ila Yanga hawataki aondoke? Msimamo wako ni upi? Yanga hawataki Fei aondoke au wanataka ila utaratibu haujafatwa? Huwezi sema wanataka aondoke halafu hapo hapo ukasema kakataliwa.Hivi unajua maana ya mazungumzo? Kwenye mazungumzo inategemea kuna kukubaliwa au kukataliwa. Mason Mount Chelsea still wanamtaka,ila dogo akataka kuongezewa hela,Chelsea kakataa now dogo kawasilisha ombi la kutaka kuuzwa still Chelsea anaonekana hataki kumwachia sababu bado anamkataba wa kuitumikia Chelsea.
Mazungumzo yakifanyika mmaweza mfikie au msifikie makubaliano, ila mwisho wa siku mkataba unasema Fei yupo chini ya Yanga.