Tathmini ya gharama ya John Pombe Magufuli Safari Kigali Kwenda na Kurudi

mbona safari moja tu mnapiga kelele?

kweli ninyi hamna jema tena kasema kaalikwa sehemu nyingi kashindwa kwenda kwa kuhofia gharama kubwa.

ukichunguzakwa makini JPM ni mzalendo
maana kakiri mwenyewe kuwa safari za mkuu wa nchi ni gharama sana,
hivyo dharama hazikwepeki ndio maana kaona suluhisho ni kupunguza safari za nje.

jpm tuko pamoja.
nlisikia mtaani eti wanasema JPM anaugonjwa wa moyo ndo maana anakwepa safari, na akisafiri wanatafuta cha kuongea kweli wabongo hawana jema.
 
Lita 1250 za mafuta kwa gari zinatosha kwenda 1250 x 10 km=12,500km.

Kutoka Dsm hadi Kigali Rwanda ni km 1600 tu. Hizo lita 1250 kwa gari moja zilitumikaje? Pumbavu

View attachment 336988

Tathmini ya matunizi ya gharama za usafiri wa Pombe kutoka Dar es Salaam kwenda Kigali na kurudi

Gari moja kutoka Tanzania kwenda Rwanda na kurudi katika msafara wa JPM lilitumia lita 1250, jumla ya magari yote yalikuwa ishirini hii inapelekea kutumia lita 25,000 ambazo zinakadiriwa kufikia hela za kitanzania 45,000,000, ifahamike kuwa magari hayo ishirini baadhi yaliondoka Dar kwenda mwanza yakiwa na dereva tu mana pombe aliondoka Dar kwenda Mwanza na ndege ya Rais iliyogharimu takribani milioni mia moja na thelathini na tatu, ndege ya Rais kutoka Mwanza kwenda Kigali ilihagharimu mafuta ya zaidi ya tsh. Milioni sabini, gharama ya ndege kutoka Kigali hadi Rwanda ni zaidi ya Tsh. Milioni mia mbili, pia ikumbukwe kuwa msafara wa magari yaliyokuwepo Kigali yalirudi Dar es Salaam yakiwa na madereva tu

Hii inapelekea kufikia takribani fedha za kiTanzania bilioni 2.3 ukijumlisha posho, gharama za malazi na kula kwa watumishi wote waliokuwa kwenye msafara, ukitoa gharama za ulinzi mkubwa uliotumika Mwanza na ule wa Kigali msafara wa pombe unasadikiwa kutumia zaidi ya Tsh. Bilioni tatu

Huku JPM anatumia fedha nyingi zote hizo ameishia kugaiwa Ng'ombe watano wenye thamani ya Tsh. Milioni nne

Chanzo na: Ben Haidar/facebook page.
 
Eti gharama kutoka Kigali hadi Rwanda ni zaidi ya Tsh. Milioni mia mbili (Ndege Rais), Huu mchanganuo umefanyika Ufipa si bure.

Kwa ufupi huo mchanganuo si kweli, magufuli kawashika pabaya naona mnatafuta kila tundu mpate cha kuongea.
Mkuu
Hoja hujibiwa kwa hoja.
Tupe wewe Nchanganuo wako Gharama ya ndege from Dar to Kigalo
 
Kumbe bil.3 tu,mi nikajua labda bil.10?
 
Eti gharama kutoka Kigali hadi Rwanda ni zaidi ya Tsh. Milioni mia mbili (Ndege Rais), Huu mchanganuo umefanyika Ufipa si bure.

Kwa ufupi huo mchanganuo si kweli, magufuli kawashika pabaya naona mnatafuta kila tundu mpate cha kuongea.
Kwannini ufikirie ufipa? Hawa ni wapinzani wa Magu toka Lumumba. Ni vizuri pia ukapinga kwa kuonesha mchanganuo wako.
 
View attachment 336988

Tathmini ya matunizi ya gharama za usafiri wa Pombe kutoka Dar es Salaam kwenda Kigali na kurudi

Gari moja kutoka Tanzania kwenda Rwanda na kurudi katika msafara wa JPM lilitumia lita 1250, jumla ya magari yote yalikuwa ishirini hii inapelekea kutumia lita 25,000 ambazo zinakadiriwa kufikia hela za kitanzania 45,000,000, ifahamike kuwa magari hayo ishirini baadhi yaliondoka Dar kwenda mwanza yakiwa na dereva tu mana pombe aliondoka Dar kwenda Mwanza na ndege ya Rais iliyogharimu takribani milioni mia moja na thelathini na tatu, ndege ya Rais kutoka Mwanza kwenda Kigali ilihagharimu mafuta ya zaidi ya tsh. Milioni sabini, gharama ya ndege kutoka Kigali hadi Rwanda ni zaidi ya Tsh. Milioni mia mbili, pia ikumbukwe kuwa msafara wa magari yaliyokuwepo Kigali yalirudi Dar es Salaam yakiwa na madereva tu

Hii inapelekea kufikia takribani fedha za kiTanzania bilioni 2.3 ukijumlisha posho, gharama za malazi na kula kwa watumishi wote waliokuwa kwenye msafara, ukitoa gharama za ulinzi mkubwa uliotumika Mwanza na ule wa Kigali msafara wa pombe unasadikiwa kutumia zaidi ya Tsh. Bilioni tatu

Huku JPM anatumia fedha nyingi zote hizo ameishia kugaiwa Ng'ombe watano wenye thamani ya Tsh. Milioni nne

Chanzo na: Ben Haidar/facebook page.
Wewe jamaa kama hii umeikuta sehemu basi ungejaribu hata wewe kutumia akili yako mwenyewe ukajiridhisha usiwe kama Mama yetu Anne. Hivi hiyo gharama ya ndege kutoka kutoka Kigali kwenda Rwanda ni milioni mil.200, ndiyo wapi? Ni hapa Afrika Mashariki au ni nje ya hapa? Hilo eneo ni la kufikirika.

Na hiyo gharama ya ndege kutoka Dar hadi Mwanza kuwa mil. 133, biashara ya ndege ingewezekana kweli? Na uhakika aliyeandika hiki kitu hajui hata mafuta ya ndege ni nini na yanauzwa shilingi ngapi.

Hii kama imeandikwa na mtoto wa darasa la saba haina shida lakini kama ni wa form one basi atapata zero form four kwa sababu hata hajui Kigali ipo sehemu gani.
 
Daah..! nakubaliana na ule msemo usemao "Nyani haoni kundulee'' gari 20 zote za kazi gani izo hela zingesaidia ata madawati watoto wanasoma chini, na ule mradi wa elimu bure naskia umefeli dawa hospital hamna nk. kumbe mkuu wa nchi naye ni Jipu
Kutoka Kigali kwenda Rwanda ni wapi?
 
Ngoja kwanza nirudi class ili nijue inakuaje gharama ya kutoka KIGALI hadi RWANDA ni zaidi ya 200M????????????????
 
ww uliepost hii thred huna ufahamu wowote kuhusu vyombo vya moto coz gari ndogo haiwezi kutumia mafuta mengi kiasi hicho hayo ni mafuta inayotumia gari kubwa la mizigo jipange upya usikurupuke
 
View attachment 336988

Tathmini ya matunizi ya gharama za usafiri wa Pombe kutoka Dar es Salaam kwenda Kigali na kurudi

Gari moja kutoka Tanzania kwenda Rwanda na kurudi katika msafara wa JPM lilitumia lita 1250, jumla ya magari yote yalikuwa ishirini hii inapelekea kutumia lita 25,000 ambazo zinakadiriwa kufikia hela za kitanzania 45,000,000, ifahamike kuwa magari hayo ishirini baadhi yaliondoka Dar kwenda mwanza yakiwa na dereva tu mana pombe aliondoka Dar kwenda Mwanza na ndege ya Rais iliyogharimu takribani milioni mia moja na thelathini na tatu, ndege ya Rais kutoka Mwanza kwenda Kigali ilihagharimu mafuta ya zaidi ya tsh. Milioni sabini, gharama ya ndege kutoka Kigali hadi Rwanda ni zaidi ya Tsh. Milioni mia mbili, pia ikumbukwe kuwa msafara wa magari yaliyokuwepo Kigali yalirudi Dar es Salaam yakiwa na madereva tu

Hii inapelekea kufikia takribani fedha za kiTanzania bilioni 2.3 ukijumlisha posho, gharama za malazi na kula kwa watumishi wote waliokuwa kwenye msafara, ukitoa gharama za ulinzi mkubwa uliotumika Mwanza na ule wa Kigali msafara wa pombe unasadikiwa kutumia zaidi ya Tsh. Bilioni tatu

Huku JPM anatumia fedha nyingi zote hizo ameishia kugaiwa Ng'ombe watano wenye thamani ya Tsh. Milioni nne

Chanzo na: Ben Haidar/facebook page.
Are you kidding me!! Lowassa amekupa Tzs. ngapi kuleta huu upuuzi? Ulishawahi kufanya tathimini ya gharama aliyotumia Lowassa kuzunguka kwa chopper kwenda hata sehemu ambazo angefika kwa gari? Hospitali za vichaa ziko wazi kama unahitaji msaada. Aren't you the same guys who are crying like babies kwa sababu ya "Rais hajasafiri kwenda nchi za nje", "English ya Rais JPM", nk. ? What a moron!
 
View attachment 336988

Tathmini ya matunizi ya gharama za usafiri wa Pombe kutoka Dar es Salaam kwenda Kigali na kurudi

Gari moja kutoka Tanzania kwenda Rwanda na kurudi katika msafara wa JPM lilitumia lita 1250, jumla ya magari yote yalikuwa ishirini hii inapelekea kutumia lita 25,000 ambazo zinakadiriwa kufikia hela za kitanzania 45,000,000, ifahamike kuwa magari hayo ishirini baadhi yaliondoka Dar kwenda mwanza yakiwa na dereva tu mana pombe aliondoka Dar kwenda Mwanza na ndege ya Rais iliyogharimu takribani milioni mia moja na thelathini na tatu, ndege ya Rais kutoka Mwanza kwenda Kigali ilihagharimu mafuta ya zaidi ya tsh. Milioni sabini, gharama ya ndege kutoka Kigali hadi Rwanda ni zaidi ya Tsh. Milioni mia mbili, pia ikumbukwe kuwa msafara wa magari yaliyokuwepo Kigali yalirudi Dar es Salaam yakiwa na madereva tu

Hii inapelekea kufikia takribani fedha za kiTanzania bilioni 2.3 ukijumlisha posho, gharama za malazi na kula kwa watumishi wote waliokuwa kwenye msafara, ukitoa gharama za ulinzi mkubwa uliotumika Mwanza na ule wa Kigali msafara wa pombe unasadikiwa kutumia zaidi ya Tsh. Bilioni tatu

Huku JPM anatumia fedha nyingi zote hizo ameishia kugaiwa Ng'ombe watano wenye thamani ya Tsh. Milioni nne

Chanzo na: Ben Haidar/facebook page.
Wewe ni wa kukamatwa na kufungwa kwa Sheria ya Mtandaoni. Jiandae!!
 
Ukitaka kudanganya, danganya kwa uongo unaofanana na kaukweli kidogo
 
View attachment 336988

Tathmini ya matunizi ya gharama za usafiri wa Pombe kutoka Dar es Salaam kwenda Kigali na kurudi

Gari moja kutoka Tanzania kwenda Rwanda na kurudi katika msafara wa JPM lilitumia lita 1250, jumla ya magari yote yalikuwa ishirini hii inapelekea kutumia lita 25,000 ambazo zinakadiriwa kufikia hela za kitanzania 45,000,000, ifahamike kuwa magari hayo ishirini baadhi yaliondoka Dar kwenda mwanza yakiwa na dereva tu mana pombe aliondoka Dar kwenda Mwanza na ndege ya Rais iliyogharimu takribani milioni mia moja na thelathini na tatu, ndege ya Rais kutoka Mwanza kwenda Kigali ilihagharimu mafuta ya zaidi ya tsh. Milioni sabini, gharama ya ndege kutoka Kigali hadi Rwanda ni zaidi ya Tsh. Milioni mia mbili, pia ikumbukwe kuwa msafara wa magari yaliyokuwepo Kigali yalirudi Dar es Salaam yakiwa na madereva tu

Hii inapelekea kufikia takribani fedha za kiTanzania bilioni 2.3 ukijumlisha posho, gharama za malazi na kula kwa watumishi wote waliokuwa kwenye msafara, ukitoa gharama za ulinzi mkubwa uliotumika Mwanza na ule wa Kigali msafara wa pombe unasadikiwa kutumia zaidi ya Tsh. Bilioni tatu

Huku JPM anatumia fedha nyingi zote hizo ameishia kugaiwa Ng'ombe watano wenye thamani ya Tsh. Milioni nne

Chanzo na: Ben Haidar/facebook page.

LAKINI HAOHAO AKINA BEN NDO WAMEKOMARIA AENDE NJE YA NCHI.SASA AMEENDA MARA MOJA MNAANZA KULALAMIKA.MLIDHANI ALIPOKATAA KWENDA YEYE NI MJINGA.??
 
Dah.. hivi ndiyo vile viwanda vya uongo alivyosema JK... eti gharama za kutoka Kigali hadi Rwanda
 
Back
Top Bottom