Kwa ujanja wangu mie ni mpenzi wa mpira sinaga timu🤥🤣🤥
Najua Kwa ujanja wako, we sio kolo
Yanga bingwa
Acha kumfananisha Prof. Kasongo wetu na vitu vya ajabu. Kasongo anakimbia, anastop na kumkimbiza adui hata kama ni kundi kubwa la mbwamwitu, anampita adui hata kama ni duma, anachenga na kuzunguka 360° akiwa speed kali, hapotezi direction ya mansion lake, anazama kwenye mansion kwa reverse katika speed ileile kali, na adui akisogeza sura yake mlangoni anarushiwa kifusi cha udongo ahangaike nacho!Nawapongeza watani wamecheza wastani ila mashabiki wa Simba wameona kuwa team Yao ni changa na coach ana mbinu duni mno
Mchezo ulikuwa wa upande mmoja Kwa maana ya Constantine fc
Constantine fc ni timu ambayo haina mafanikio kwenye mashindano ya kimataifa,
Mafanikio Yao ni kuishia second round katika CAFCC lakini wamewafunga Simba wakongwe kama watoto wadogo
Taifa limepata aibuuuuu
Mousa Camara
Ni goal keeper mzuri mno nadhani anaponzwa na team na alicheza vizuri mno
Kapombe na Tshabalala
Wamecheza vizuri mno, hawa wachezaji wanazeeka na uzuri wao, wana kasi nzuri , wastani mzuri wa kuzuia na kushambulia
Heko kwao
Chemalon na Hamza hapa hamna beki, hawakabi vizuri, hawaruki bichwa wapo goigoi
Che malon ni beki wa kawaita mno, huko kimataifa atawatia aibu mno
Fabrice Ngoma
Huyu ni bonge la mchezaji, nasikia tetesi ati anaachwa lakini sisi watu tunaojua mpira Simba hakuna mchezaji kama Ngoma, amecheza vizuri mno
Okajepha na Aouhor
Hawa ndo wameigharimu Simba
Wamecheza vibaya mno.
Ni wachezaji wa kucheza Mabibo market, wapo Simba Kwa bahati mbaya
Auohor na Pacome ni walevi na unaweza kuona fitness Yao ipo chini kifupi hawajitunzi
Ateba
Mchezaji mzuri nadhani hamna play maker mzuri, wa kum link na mipira
Kibu Denis
Me napenda kumuita Kasongo mbona yeyo🤥 Kwa kifupi akili ndogo hutesa miwili
Ukiona unafungwa na timu za shirikisho yaani za kwenye mashindano ya akina mama, ujue ukija Kwa wakubwa yaani CAFCL utapigwa magoli 16
Ubaya ubwege/ uboya
Mla, mla leo. Mla jana kala nini?Naskia jana vyura mlipakatwa, ni kweli?
Umeandika kwa uchungu na mate yakiwa yamejaa mdomoni...Ukiona unafungwa na timu za shirikisho yaani za kwenye mashindano ya akina mama, ujue ukija Kwa wakubwa yaani CAFCL utapigwa magoli 16
Umenichekesha sana MkuuAcha kumfananisha Prof. Kasongo wetu na vitu vya ajabu. Kasongo anakimbia, anastop na kumkimbiza adui hata kama ni kundi kubwa la mbwamwitu, anampita adui hata kama ni duma, anachenga na kuzunguka 360° akiwa speed kali, hapotezi direction ya mansion lake, anazama kwenye mansion kwa reverse katika speed ileile kali, na adui akisogeza sura yake mlangoni anarushiwa kifusi cha udongo ahangaike nacho!
Yote hayo najua mkuu unayajua vizuri ila unavunga huyaoni. Sasa sijui Professor kakukosea nini hadi useme ana akili ndogo na umfananishe na Kibu? Kibu mfananishe na nzi au kuku alokatwa kichwa, speed kali ila hawajui wanaenda wapi!
😁Mimi kama chawa wake Prof, samahani yako imepokelewaUmenichekesha sana Mkuu
Samahani mkuu nimemkosea sana professor Kasongo
Unamuelewesha kichaa...Apate kwa penalty au goli la mkono muhimu tunacjotaka ni simba yaanga wote watinge robo basi
Uzuri wa thimbaaa taifa hawatuangushi...unaweza weka hadi mkeUtopo Goals walizofunga 0
Goals za kufungwa 4
Caf walikuwa sahihi kutaka kufuta hii michuano,,timu nyingi ni unga unga mwana kwenye hiki kikombe,,unaweza kumention angalau timu kama 2 ama tatu zenye unafuu nazo ni zamalek, Rs berkane na USM alger zilizobaki zote ni pipa na mfuniko,,na bado unaona kocha wa timu inayojinasibu ni Bora na kubwa anaenda kucheza na kitimu cha dizaini Ile anapaki basi la mabeki 5,,na anapata kigoli cha mazabe mazabe anashindwa kukilinda licha ya kuwa na mabeki 5🤣🤣Nawapongeza watani wamecheza wastani ila mashabiki wa Simba wameona kuwa team Yao ni changa na coach ana mbinu duni mno
Mchezo ulikuwa wa upande mmoja Kwa maana ya Constantine fc
Constantine fc ni timu ambayo haina mafanikio kwenye mashindano ya kimataifa,
Mafanikio Yao ni kuishia second round katika CAFCC lakini wamewafunga Simba wakongwe kama watoto wadogo
Taifa limepata aibuuuuu
Mousa Camara
Ni goal keeper mzuri mno nadhani anaponzwa na team na alicheza vizuri mno
Kapombe na Tshabalala
Wamecheza vizuri mno, hawa wachezaji wanazeeka na uzuri wao, wana kasi nzuri , wastani mzuri wa kuzuia na kushambulia
Heko kwao
Chemalon na Hamza hapa hamna beki, hawakabi vizuri, hawaruki bichwa wapo goigoi
Che malon ni beki wa kawaita mno, huko kimataifa atawatia aibu mno
Fabrice Ngoma
Huyu ni bonge la mchezaji, nasikia tetesi ati anaachwa lakini sisi watu tunaojua mpira Simba hakuna mchezaji kama Ngoma, amecheza vizuri mno
Okajepha na Aouhor
Hawa ndo wameigharimu Simba
Wamecheza vibaya mno.
Ni wachezaji wa kucheza Mabibo market, wapo Simba Kwa bahati mbaya
Auohor na Pacome ni walevi na unaweza kuona fitness Yao ipo chini kifupi hawajitunzi
Ateba
Mchezaji mzuri nadhani hamna play maker mzuri, wa kum link na mipira
Kibu Denis
Me napenda kumuita Kasongo mbona yeyo🤥 Kwa kifupi akili ndogo hutesa miwili
Ukiona unafungwa na timu za shirikisho yaani za kwenye mashindano ya akina mama, ujue ukija Kwa wakubwa yaani CAFCL utapigwa magoli 16
Ubaya ubwege/ uboya
Mwamba una ugomvi nao mbona umewalabua vibao vya kelebu namna hiyo?Nawapongeza watani wamecheza wastani ila mashabiki wa Simba wameona kuwa team Yao ni changa na coach ana mbinu duni mno
Mchezo ulikuwa wa upande mmoja Kwa maana ya Constantine fc
Constantine fc ni timu ambayo haina mafanikio kwenye mashindano ya kimataifa,
Mafanikio Yao ni kuishia second round katika CAFCC lakini wamewafunga Simba wakongwe kama watoto wadogo
Taifa limepata aibuuuuu
Mousa Camara
Ni goal keeper mzuri mno nadhani anaponzwa na team na alicheza vizuri mno
Kapombe na Tshabalala
Wamecheza vizuri mno, hawa wachezaji wanazeeka na uzuri wao, wana kasi nzuri , wastani mzuri wa kuzuia na kushambulia
Heko kwao
Chemalon na Hamza hapa hamna beki, hawakabi vizuri, hawaruki bichwa wapo goigoi
Che malon ni beki wa kawaita mno, huko kimataifa atawatia aibu mno
Fabrice Ngoma
Huyu ni bonge la mchezaji, nasikia tetesi ati anaachwa lakini sisi watu tunaojua mpira Simba hakuna mchezaji kama Ngoma, amecheza vizuri mno
Okajepha na Aouhor
Hawa ndo wameigharimu Simba
Wamecheza vibaya mno.
Ni wachezaji wa kucheza Mabibo market, wapo Simba Kwa bahati mbaya
Auohor na Pacome ni walevi na unaweza kuona fitness Yao ipo chini kifupi hawajitunzi
Ateba
Mchezaji mzuri nadhani hamna play maker mzuri, wa kum link na mipira
Kibu Denis
Me napenda kumuita Kasongo mbona yeyo🤥 Kwa kifupi akili ndogo hutesa miwili
Ukiona unafungwa na timu za shirikisho yaani za kwenye mashindano ya akina mama, ujue ukija Kwa wakubwa yaani CAFCL utapigwa magoli 16
Ubaya ubwege/ uboya
Alishatoa utafuteLeta uchambuzi wa Utopolo jana
Mbumbumbu watakuja kubishaCaf walikuwa sahihi kutaka kufuta hii michuano,,timu nyingi ni unga unga mwana kwenye hiki kikombe,,unaweza kumention angalau timu kama 2 ama tatu zenye unafuu nazo ni zamalek, Rs berkane na USM alger zilizobaki zote ni pipa na mfuniko,,na bado unaona kocha wa timu inayojinasibu ni Bora na kubwa anaenda kucheza na kitimu cha dizaini Ile anapaki basi la mabeki 5,,na anapata kigoli cha mazabe mazabe anashindwa kukilinda licha ya kuwa na mabeki 5🤣🤣
Chuma 2 ndani ya dk 4,,