ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 8,573
- 19,874
Nawapongeza watani wamecheza wastani ila mashabiki wa Simba wameona kuwa team Yao ni changa na coach ana mbinu duni mno
Mchezo ulikuwa wa upande mmoja Kwa maana ya Constantine fc
Constantine fc ni timu ambayo haina mafanikio kwenye mashindano ya kimataifa,
Mafanikio Yao ni kuishia second round katika CAFCC lakini wamewafunga Simba wakongwe kama watoto wadogo
Taifa limepata aibuuuuu
Mousa Camara
Ni goal keeper mzuri mno nadhani anaponzwa na team na alicheza vizuri mno
Kapombe na Tshabalala
Wamecheza vizuri mno, hawa wachezaji wanazeeka na uzuri wao, wana kasi nzuri , wastani mzuri wa kuzuia na kushambulia
Heko kwao
Chemalon na Hamza hapa hamna beki, hawakabi vizuri, hawaruki bichwa wapo goigoi
Che malon ni beki wa kawaita mno, huko kimataifa atawatia aibu mno
Fabrice Ngoma
Huyu ni bonge la mchezaji, nasikia tetesi ati anaachwa lakini sisi watu tunaojua mpira Simba hakuna mchezaji kama Ngoma, amecheza vizuri mno
Okajepha na Aouhor
Hawa ndo wameigharimu Simba
Wamecheza vibaya mno.
Ni wachezaji wa kucheza Mabibo market, wapo Simba Kwa bahati mbaya
Auohor na Pacome ni walevi na unaweza kuona fitness Yao ipo chini kifupi hawajitunzi
Ateba
Mchezaji mzuri nadhani hamna play maker mzuri, wa kum link na mipira
Kibu Denis
Me napenda kumuita Kasongo mbona yeyo🤥 Kwa kifupi akili ndogo hutesa miwili
Ukiona unafungwa na timu za shirikisho yaani za kwenye mashindano ya akina mama, ujue ukija Kwa wakubwa yaani CAFCL utapigwa magoli 16
Ubaya ubwege/ uboya