Hamna kilichoendelea Mkuu!Kila kitu kiko vilevile hata sielewi tunakoelekea!Uchumi unazidi kudorora,inflation iko at the highest rate,unemployment ipo juu,ufisadi nao wazidi kutuumiza vichwa maana hamna hatua inayochukuliwa na mauaji ya kimafia yasiyoeleweka!
I am so worried will be a failed state maana tunakoelekea hapaeleweki!!!!!!!!!
Tunakutakia kila lakheri katika uwajibikaji wako bungeni ila nothing my firend has changed!
1.Tanzania is not a state.Has Tanzania ever been a successful state? Kuna watu wanaamini wakati wa Nyerere tulikuwa tumefanikiwa.....Kama ni mafanikio basi ni kuweka misingi imara kama miamba ya kusitawi kwa ufisadi.
Bwana Zitto mbona hujajibu hoja ya msaada wa millioni 78 wa magari na pikipiki?
na uwiano wa kugawa ruzuku makao makuu na majimboni? mimi nilikuwa na mpango wa kujiunga na chama chenu lakini kwa hizo hoja nasita.
tunawaaminia kwa juhudi zenu hasa kwa hiii hoja uliyoileta lakini kwa nza safisha hali ya hewa bwana.
Nakutakia uwajibukaji mwema ukumbini wakati na mimi nawajibika hapa kijiweni kwangu.
the list goes on
....gembe basi tuanze kutafuta ushahidi wa vifo vingine masterminded na UWT ..kabla ya kuanza ..kupiga propaganda iliyoshindwa hapa ya kuhusisha upinzani..ambao hawana jeshi,usalama ,polisi hata TVIIIIIT....nadhani ingekuwa vinginevyo sasa hao viongozi wa chama ...wangekuwa shimoni...wananyea debe.....
......style iliyotumika ni ileile....waliyoitumia majasusi wa kenyatta,mwalimu.iddi amin...ets.....
style ambayo ni exactly kama aliyokufa sokoine ..tukaambiwa hakufunga mkanda ...na akiwa amekaa kiti cha nyuma alirushwa akajigonga...mbele...ndio dereva wake na bodyguard walipona....na yule jasusi wa ANC dube PIA alipona ...baadaye akaachiwa ...traffic offence!!!
....yes sokoine hakufunga mkanda ..WAKATI INAJULIKANA KWA YEYOTE ALIYEFANYA HATA ELEMENTARY VIP PROTECTION UNIT....JUKUMU LAKO LA KWANZA NI KUHAKIKISHA KUWA BOSI WAKO ANAINGIA GARINI KWA USALAMA.......PILI KUHAKIKISHA UMEMFUNGA MKANDA WEWE MWENYWE...TATU HAKIKISHA UMEUFUNGA MLANGO VEMA ...NA LOCK,....NNE HAKIKISHA WAKATI WOTE WA SAFARI AMEFUNGA MKANDA NA HAKUNA MAZINGIRA YEYOTE HATARISHI NDANI AU NJE YA GARI ..IKIWEMO KUWASILIANA KWA REDIO NA DESTINATION ....NA TRAFFIC ANAYEONGOZA MSAFAARA...PAMOJA NA KUSIKILIZA MAWASILIANO WAKATI WOTE...........mbona hamkupeleka ushahidi polisi!!!!?????...style ile ile!!
...tatizo la huyu kijana wa sasa ..hakuwa JASUSI ALIYEFUZU.....
1.Tanzania is not a state.
2.Tuambie mafanikio wwe unayapima vipi,ila as far as i know Tanzania imepiga hatua kubwa katika maendeleo hasa ya Teknolojia ukilinganisha na miaka ya nyuma
3.Panga hoja zako vizuri na usijumuishe kuwa kitu kimoja,leo mie siwezi kusema CHADEMAni chama kibaya hata kama kina viongozi wabaya,kuna mazuri yamefanywa na viongozi wao na mengine ni mabaya,vivyo hivyo na Mwalimu,Mwinyi,Mkapa(angali picha hapo juu) kuna yale mazuri waliyofanya na mabaya ambayo yalitokea
KAMA UNA USHAHIDI PELEKA POLISI???????
Ndugu PM.....the list goes on

Huyo Mwalimu hapo juu wakusudia Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.......?Na hiyo ya Sokoine......ina maana BABA WA TAIFA ALIHUSIKA....?maana majasusi hapo umehusisha na MARAIS wa NCHI...........
Hofu yangu ni kwamba huyo mtu hatajwi kwa mabaya kabisa hapa JF....ni mtakatifu kama alivyokuwa ANUARIKE.
Ingawa ukweli utabaki palepale, pamoja juhudi zinafanywa kutufanya tusahau yale ya kuvaa magunia,kuteketeza mali kwa kisingizioa cha uhujumu uchumi na sera za azimio la Arusha,kulazimisha watu kuhama makazi yao na kupoteza vitega uchumi vyao kwa hoja za ujamaa n.k
anyway,Mh.Zitto Kabwe....
Bado tu tupo katika kiza totoro.........maana kashfa nzito zaenea hadi kwa wale tuliokuwa tunawaona kuwa ni wakombozi,mbaya zaidi baadhi ya hizo kashfa kama vile za ubaguzi wa kidini,kikabila,kielimu na kimawazo hapo makao kuu Ya CHADEMA yanapoonekana waziwazi kiasi cha kuepelekea hizo zilizojificha kuhisiwa kuwa ni za kweli.
Kwa hiyo hakuna mafanikio...badala yake kuna loss kila upande.
zitto wewe ni muuwaji tu
na mwaka huu ndio mwisho wenu, kwisha chadema itabaki ni history
mmekwisha na nilisema bunge lijalo wapinzani watabakia na viti nusu tu vya pemba
6.1.1 Kutakuwa na ngazi saba za uongozi wa Chama kama ifuatavyo:
(a) Ngazi ya Msingi (Shina kwenye CCM)
(b) Tawi
(c) Kata/Wadi
(d) Jimbo/Wilaya
(e) Mkoa
(f) Jimbo.
(g) Taifa - Katiba ya Chadema
Mabadiliko HAKUNA na MAMBO NI MBAYA ZAIDI...Hilo liko WAZI!
Hata wanafunzi na wafanyakazi pamoja na wakulima mambo yao ni WORSE!
Kwa mafisadi...MAMBO SHWARI SANA TU NA MABILIONI NI VIJISENTI.
Watu kama hao kelele za MLANGO HAZIWANYIMI "USINGIZI"
Nimesema vitu vimebadilika lakini pia vimeendelea kubakia vile vile. Je mabadiliko yote haya tunayoyaona kwenye upande wa siasa yamesababisha mabadiliko ya kiutendaji? Kwa kiasi inawezekana lakini kiukweli bado utendaji wetu uko vile vile kwani bado watendaji hawajajitahidi kushikamana na mabadiliko ya kisiasa.
Matokeo yake, kiutawala na kiutendaji serikalini bado tunahangaika na mambo yale yale, maamuzi mabovu, utawala wa kibabe, na sheria zile zile ambazo zimetufikisha hapa tulipofika leo. Hakujawa na haraka ya kubadilisha vitu kwa haraka. Sheria ya Madini bado ni ile ile, sheria ya Usalama wa Taifa ni ile ile, Mkataba wa Buzwagi ni ule ule, n.k Hatujafanya hima kubadilisha matendo yetu ya kiutawala. Hadi leo hakuna mtu aliyefikishwa mahakamani kwa kosa lililotokana na tuhuma mbalimbali na kuna uwezekano wa kutofikishwa mahakamani.
Mwanakijiji, thank you for your lengthy and scary analysis ambayo hata hivyo imerudi kulekulekwamba: bado mambo yako vilevile. Hakuna mabadiliko. Sikuona umuhimu wowote kabisa wa wewe kutu-lecture kwa muda wote huo kuhusu tactical adjustments zilizofanywa na vyama vya siasa (esp.CCM), hali ukijua kuwa these morons had no other choice but to do so ili wazidi kubaki hapo walipo/madarakani.
My advice: Next time, please try harder to go straight to the point.
1.Tanzania is not a state.
2.Tuambie mafanikio wwe unayapima vipi,ila as far as i know Tanzania imepiga hatua kubwa katika maendeleo hasa ya Teknolojia ukilinganisha na miaka ya nyuma
3.Panga hoja zako vizuri na usijumuishe kuwa kitu kimoja,leo mie siwezi kusema CHADEMAni chama kibaya hata kama kina viongozi wabaya,kuna mazuri yamefanywa na viongozi wao na mengine ni mabaya,vivyo hivyo na Mwalimu,Mwinyi,Mkapa(angali picha hapo juu) kuna yale mazuri waliyofanya na mabaya ambayo yalitokea
wewe jamaa kaa kimya yaani unachemka mpaka noma! aidha unaongea sana bila kufikiria au ni mweupe, a dingus...inaboa kukusoma!!
Ndugu zangu,
Tarehe kama hii mwaka jana nilitoa hoja Bungeni kuhusu Mkataba wa Buzwagi uliosainiwa kifisadi huko Uingereza.
Mengi yametokea katika Taifa letu toka Agosti mwaka 2007. Hebu tuangalie nyuma ili kuona tumefanikiwa nini katika vita dhidi ya ufisadi na pia wapi tumekosea na kuongeza nguvu zaidi ili Taifa letu liwe mahala pazuri pa kuishi. Kila mtu mwana JF, aseme anaona nini kimebadilika katika uendeshaji wa Taifa letu, katika vyama vya upinzani na katika chama tawala!
Vipi katika vyombo vya habari na Asasi zisizo za kiserikali?
Nawatakia kila la kheri, naenda ukumbini kuwajibika.............................. Lets look back and learn