Tarehe ambayo sitoisahau

dah, mkuu kwani nimekataa sio ukatili?
ila kwa watu wapelelezi wa kesi za mauaji ndio watafahamu nililoeleza, aina ya mauaji yanatumika ku determine sababu ya mauaji...kama huna insight yoyote kwenye masuala ya saikolojia na mauaji naomba tusibishane
Wala haina haja ya kuomba wa kubishana nawe wala hayupo.
 
aliyesababisha mauaji alikutwa na hatia ya kuua na bado akachiwa huru? hebu niweke wazi hapo. yote kwa yote pole sana
 
Taarifa unaitoa nusu nusu labda unahofia mtuhumiwa kupata taarifa za uwepo wako kutokana na nguvu aliyokuwa nayo..

pole sana
 
Pole sana lkn sio kila mtuhumiwa wa kudeal nae mahakaman wengne unadeal nao personally

Wengine unadeal nao kwa maombi ya kufunga na kujitoa kiuhakika lazima atapata malipo mbele ya dunia SAA 6 mchana
 
Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi Rose B Masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu Rose Masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabisa
Pole sana bro,ila mm roho yangu nyepesi saa hz tungekuwa tunaogea vngne.
 
Pole mkuu Mungu akujali moyo wa kusamehe na kusahau ili usije beba dhambi isiyo yako, mwaache km haki imekosekana hapa dunia basi elewa itapatikana kwa Mungu
 
Back
Top Bottom