Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 19,955
- 34,452
Kuna Mavura mwingine amefariki wiki kama tatu hivi zilizopita je ana undugu na huyu?
Mavura wa Kaloleni au mwingine.
Kuna Mavura mwingine amefariki wiki kama tatu hivi zilizopita je ana undugu na huyu?
Marehemu Mavura wa kaloleni ni kaka yake Prof.Mavura wa Kaloleni au mwingine.
Marehemu Mavura wa kaloleni ni kaka yake Prof.
Ndugu wameondoka kwa kufuatana.
Mungu ndiye ajuayeKwenye Bodaboda!
Kwanza tujue profesa maana yake nini na nini asili ya hili neno/cheo.Hivi uprofesa mtu unasomea?je ukifika elimu gan ndo unakuwa profesa?naomba kujua
Umesahau kifua kwa wasaniiAlikuwa bado sana kiumri ukilinganisha na maprof. ninaowafahamu.
Tujifunze kupiga mazoezi, kula matunda na mbogamboga.
Pressure na kisukali vitatumaliza.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE-AMINA
Nilimfahamu. Mtu mzuri sana, mtulivu na mwenye hekima. Tofauti na wengi waliosoma chemistry kama yeye, huyu alikuwa msemaji na english yake ilikuwa nzuri sana. Nimefundisha hapo JKUAT Arusha Centre kwa miaka 3 na nimefurahia kila dakika niliyotumia kuongea na Prof Mavura. Mungu amlipe mema.View attachment 367313 PROFESA MAVURA AFARIKI DUNIA NDANI YA NDEGE
Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Jomo Kenyatta cha Arusha (JKUAT), Profesa Ward Mavura amefariki dunia leo wakati akiwa kwenye ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha.
Chanzo kimoja kilicho karibu na familia hiyo kimesema kuwa Profesa Mavura alikuwa anatarajia kwenda India kwa ajili ya matibabu.
Profesa
Profesa ni mwalimu wa Chuo Kikuu,ukiweza kupata PhD hapo utaendelea na tafiti mbali mbali mpaka Dunia itakubali kwa kuishawishi kwa tafiti zako na hapo ndipo maprofesa wezio watakuthibitisha lakini bila hivyo ukiwa na PhD bado utakuwa mwanafunzi tu maana utaitaji Profesa akusimamie kwenye tafiti zako ili nawe uweze kuwa Profesa.
DUH RIP brorhersMarehemu Mavura wa kaloleni ni kaka yake Prof.
Ndugu wameondoka kwa kufuatana.