Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,663
- 59,000
Ennh Tobaaaaa Mkuu Hujasoma kama sisi? villaza tupo wengi...RIP sikujua kuwa nchi hii ina maprofesa wengi namna hii kasoro mimi tu ndio sio profesa,inakuwaje prof.majimarefu au prof.ndumilakuwili wanakuwa maarufu kuliko maprofesa wa ukweli kama huyu
R. I.P professorHivi uprofesa mtu unasomea?je ukifika elimu gan ndo unakuwa profesa?naomba kujua