New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,834
- 3,690
Unaanza eeeehh...!!!?! Kwani una matatizo gani...!!??I knew it
Waislam lazima wajae kukoment aya zao
Unaanza eeeehh...!!!?! Kwani una matatizo gani...!!??I knew it
Waislam lazima wajae kukoment aya zao
View attachment 353558
Mohamed Alli alipokujan Tanzania miaka 1980
Itabidi achaguliwe mtu wa kukusanya Rambi Rambi na kuipeleka uko Arizona Marekani
Ally vs Frazier II..... Mtanange wa raundi 15.....ally alishinda ila akasema alijihisi kufa......RIP
Pamoja na kuwa msibani ila hizo clip zimeniacha hoi kwa vicheko.
Kuna watu walikuwa wanajifanya wabishi mwisho wao ulikuwa mbaya kwa huyu mwamba.
Marehemu Oscar Bonavena alijifanya mbishi kila akisimama anakutana nayo chinii,akisimama nyingine tena chalii hadi refa kambana,"we bwana usiamke tena hapa utakufa".
Yule mzee mwingereza Brian London kujifanya ujuaji wa kubonyea zisimpate,jamaa alipomfumania upper cut moja akasimama mvua iliyofuatia alikuwa haelewi akwepe ipi aache ipi ha ha haa,dah!kwaheri nguli.Ahsante kwa burudani.
UMEMSAHAU BOB MARLEYKatika ngumi tulikuwa na Mohamed Ali, football Pele bado yupo, muziki Michael Jackson alitutoka, siasa Mandela "madiba" aliwakilisha.....indispensable!
Follow this link: Muhammad Ali - Wikipedia, the free encyclopediaWas his real name?