pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,369
- 14,608
RIP
yaani anaogelea badala ya kuwaza ni kwa jinsi gani atuondolee aibu ya shirika la taifa kuwa na ndege moja huku wafanyakazi wakiwa 400?
Nga wewe....kwani umeambiwa TANZANIA AIRPORT AUTHORITY ndio AIR TANZANIA COMPANY LIMITED?yaani anaogelea badala ya kuwaza ni kwa jinsi gani atuondolee aibu ya shirika la taifa kuwa na ndege moja huku wafanyakazi wakiwa 400?
Na ukitaka kufahamu ikiwa afya yako ni mbovu au mzuri, basi kaogelee! Ila usichangae kwa yaliyomkuta manake bahari haina rafiki! Siku ikikuchoka wala haiangalii kwamba ulikuwa muogeleaji bingwa! Binafsi, hivi sasa ingekuwa nishazoea maisha ya kuzimu... tena ndo vile bado nilikuwa mdogo na mtoto tunaambiwa hana dhambi; ingekuwa napeta tu hivi sasa!!Kuogelea ni Mazoezi mazuri na hujenga mwili vizuri... Ila sijui kilichotokea ktk kifo chake!!
Kwani hata mie huogelea kwa amani kbs!!!
Nga wewe....kwani umeambiwa TANZANIA AIRPORT AUTHORITY ndio AIR TANZANIA COMPANY LIMITED?
hausiki na ndege yeye anahusika na viwanja.
sawa kijana ? uwe unaelewa majukumu na mgawanyo wa kazi.
Kwani kutomuamini kwako kunge rudisha uhai wa marehemu?viroba bwana ni shida kweliNakuamini wewe kuwa nikweli
Bas Mwenyezi Mungu ampumzushe kwa amani
Labda msome huyu:YAANI SIKU YA KAZI YEYE ANAOGELEA?!
Sasa sijui tuchukue lipi ingawaje huyu wa kizungu naona taarifa yake ipo complete wakati ya mleta mada, haijataja hata alikokua anaogelea ikiwa ni baharini, swimming pool (mwanzo ndo nilidhani) au mtoni!With deep sorrow, I wish to inform you that Eng. Suleiman Said Suleiman, the DG TAA, passed away yesterday.
Information received from staff of TAA at TB1 confirms that Eng. Suleiman drowned as he was swimming in the Indian Ocean behind the State House. The information further says that onlookers who saw him drowning, rushed to rescue him but he had taken too much salt water!
May His Soul Rest in Eternal Peace. AMEN
Duuuu we jamaa unaonekana una machungu kweli kweliyaani anaogelea badala ya kuwaza ni kwa jinsi gani atuondolee aibu ya shirika la taifa kuwa na ndege moja huku wafanyakazi wakiwa 400?
Unaogelea vp kwenye fukwe ya Ikulu. Pale kuna fukwe ya kuogelea mtu wa Heshima kama yeye...!? kuna jambo la ziada, ile sehemu ni maarufu sana kwa mambo ya kishirikina.....View attachment 317569
Kafariki nyuma ya ufukwe wa Ikulu akiwa anaogelea
yaani anaogelea badala ya kuwaza ni kwa jinsi gani atuondolee aibu ya shirika la taifa kuwa na ndege moja huku wafanyakazi wakiwa 400?
Kama labda alikuwa na tatizo la blood pressure ikamuanzia humo ndio hivyo tena maana kila nafsi itaonja umautiKuogelea ni Mazoezi mazuri na hujenga mwili vizuri... Ila sijui kilichotokea ktk kifo chake!!
Kwani hata mie huogelea kwa amani kbs!!!
alikua anafanya mazoezi ya kuogelea umeambiwa, labda pumzi imekata au alikua na matatizo ya moyo