TANZIA: Kiungo wa zamani mahiri wa Dar Young Africa, Godfrey Bonny afariki dunia

RIP ndugu yangu Mwandanje, toka enzi za hotboys pale Tukuyu mjini mpaka Yanga ulikuwa na kipaji cha ukweli sana. utabaki mioyoni mwetu.
 
Mimi Simba Hila Jamaa alikuwa Moja ya Viungo Bora Tanzania Tulichelewa Kumuona Tu aiseeee
 
Back
Top Bottom