cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,309
- 74,851
- Thread starter
- #21
R.I.P Don
Hata mimi nina wasiwasi na hii kitu na uumwaji wake wa ghafla....Huyu jamaa mbona alikuwa mzima siku za karibuni.... Hela zake zinanitia wasiwasi isije ikawa alipitia mfumo wa SK kujipatia hela ya fasta kwa masharti....
R.I.P Ivan
Sisi wabongo ni shida sana, kama ndo upeo wetu huu tunahitaji msaada wa kifikra kwa kweli ili tuendelee. Ivan alipata shambulizi la moyo ni ugonjwa wa kawaida kabisa na unajulikana sana, sasa leo mnaanza kuingiza imani zetu za kizamani. Muda si mrefu mtaanza oooh hela za masharti, mara free manson n.k. Kwa jadi zetu wakati wa msiba si wakati wa mzaha. RIP IVANHata mimi nina wasiwasi na hii kitu na uumwaji wake wa ghafla....
Huyu jamaa mbona alikuwa mzima siku za karibuni.... Hela zake zinanitia wasiwasi isije ikawa alipitia mfumo wa SK kujipatia hela ya fasta kwa masharti....
R.I.P Ivan
Luganda sio kigandaJamaa alikuwa anakubari sana kiganda kuliko kiingereza,interviews nyingi sana alipenda kuongea kiganda
Pesa zote hizo kaziachaaa
Mwaname mzuri akaishia kwa Malaya wa kimataifa, very sad, good people wanapotezwa na uchawi na kukamatwa wanaishia kufa mapema, sasa ngoja tusikie kimbembe cha mirathi manake huyo mondi aliyejidai hamtaki tena anamtaka Wema mtanona atakavyokimbiia kurudi fasterWeka namba ya simu ya wahusika tuchangie directly, mana michango ikipitia kwa akina Gambo kwa walengwa inafika robo tu