Emmanuel R. Ntobi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 691
- 1,491
Inasikitisha sana, Watu wanapanga mauwaji, wanauwa na hakuna hatua inayochukuliwa, sijui tunaelekea wapi!?
R.I.P Mhe. Diwani.
R.I.P Mhe. Diwani.
Unamaanisha nini?Na kwa kuwa mmegoma kupiga magoti, orodha itakuwa ndefu muda si muda. Watu wasiojulikana wataendelea kuua viongozi na wafuasi wa vyama vinavyounda UKAWA!!
Umeambiwa mauaji yametokea Kagera, wewe unasema Wakurya, tangu lini Wakurya wakaishi Kagera.hiyo signature yako kari sana aisee kwani wakurya ni katili kiasi hicho
Usiwe mgeni na hulka za ccm, wao hata ujumbe nyumba 10 wanaweza kuua mtu. Lipunba alipowaita Intarahamwe hakuwa anaropoka yule Professor Bali alikuwa amefanya research ya kutoshaudiwani tu unatoa roho ya mtu, je ingekuwa ameshindwa urais ingekuwaje?