TANZIA: Diwani pekee wa CCM ktk Jimbo la Arumeru Mashariki afariki dunia

Poleni sana wana Arumeru Mashariki...CHADEMA isisimamishe mgombea...waachieni CCM
Huruma hiyo ingefanyika na zanzibar ingekua poa sana,
CDM waweke mgombea na ikiwezekana wapeleke nguvu kubwa hapo kwenye hiyo kata.
Kifupi huyo aliweka Doa
 
RIP diwani.

Nashauri Chadema wasisimamishe mgombea udiwani Uchaguzi mdogo ili CCM ipite na kuendelea kuwa na diwani kwenye baraza.

Hatutaki waje kuwa kama Baraza la wawakilishi ambalo wamejiweka jana wote wa CCM ili wakisema ndioooo sauti isikike kote Zenji
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom