mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
- Thread starter
- #101
ngosha unamuangusha sana @Naona umeanza kuandika na kujipa likes mwenyewe. Hiyo video bado hujaipata tu.
afadhali labda wewe atakusikia... nafikiri hata MALCOM LUMUMBA hana hamu nae tena kutokana na michezo yake isiyoeleweka...Na wewe weka video ya harusi ya wazazi wako hapa....video video...kubali kushindwa..hiyo hoja yako ni ya kitoto tu..na ukiendelea nitawaomba mods hapa wa verify umri wako..coz you are acting childish