MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,270
- 50,529
Oh.... Kumbe imekuja kupinga misaada yetu, ndio maana huko nyuma kwenye uzi huu nikasema shukurani ya punda mateke. Kama kuwasadia mnajuwa pa kukimbilia maji yakiwa ya moto. Misaada yetu mingi inapita kimya kimya bila wananchi wa chini kama wewe kuijuwa.
Hehehehe Duh mabumbumbu kweli, tatizo ni elimu au nini?? Mbona haikuingii kwamba hamna cha kutuokoa wala nini, wenzio wamenyamaza kimya baada ya kuelewa aibu, wewe ndiye umejitwika ung'ang'anizi bila aibu.
Uingereza imeamua kuingia na Kenya mkataba wa moja kwa moja pembeni maana hawapo EU. Lakini pia hapo hapo Kenya na EU tutaendelea na ule mkataba wa EPA.
Naona sasa unaandika ilmradi uonekane wa wa mwisho na mshindi hata kama unajianika, haya kwaheri nakuachia ushindi.