wakuu,
nathani ni jana tu niliandika kuhusu wa waafrica kujitoa kwenye mashirikisho ambayo hayana maaana kwa waafrica Zaidi ya unyonyaji.
Ila niwakumbushe au kusema nitoe tahathari kuwa,kushirikiana na nchi nyingine ndani ya Africa ni kitu muhimu sana.
siamini kuwa,waafrica tunatakiwa kutengana Zaidi ya kuzidi kushirkiana,kiuchumi,ulinzi na mambo mengine mengi.
Binadamu ambaye mawazo yake hayabadili huyo ni kichaa.
Hahahaaa. Nchi inaogopa kulizwa na wajanja kama ilivyokuwa mwaka 77 ilipovunjika jumuiya. Washa umwa na nyokaNa binadamu ambaye anabadili mawazo yake mara kumi ndani ya dakika moja ni kichaa zaidi
Hahahaaa. Nchi inaogopa kulizwa na wajanja kama ilivyokuwa mwaka 77 ilipovunjika jumuiya. Washa umwa na nyoka
kanuni za EAC ni kwamba mikataba kama hii EPA inayotakiwa kuingiwa na jumuiya ya ulaya, ni lazma iingie jumuiya nzima..sio nchi moja moja.
Sababu ndio hizo hizo hapo juu mkuu. Na kujifungia hadi lini nadhani hadi nchi izalishe wajanja wake na pia wawe wababe kwa nchi nyingine. Sisi bado wazembe kwenye international arenaHapo sasa ndio umekuna kwenye mwasho! Huu ndio ukweli mtupu. Sisi ni waoga. Ndio maana tunasema kitu kimoja..baadae tunakuja kusema kingine. Yaani tunaogopa tutalizwa. Swali ni hili: tutaendelea kuwa wafungwa wa historia mpaka lini? EAC ya kwanza ilikufa..tukakubali kuunda nyingine...kwanini tunasita kutumia fursa zake kamili?
naomba niwekee hapa hiyo kanuni inayosema nchi mwanachama hawezi kuingia mkataba na EU bali lazima aingie na jumuia nzima.
Sababu ndio hizo hizo hapo juu mkuu. Na kujifungia hadi lini nadhani hadi nchi izalishe wajanja wake na pia wawe wababe kwa nchi nyingine. Sisi bado wazembe kwenye international arena
EAC Treaty imefanyiwa amendments 2006 and 2007, hiyo communique ya mkutano wa 2002 haukuingizwa kwenye treaty.Rejea communique ya mkutano wa mwaka wa EAC ya mwaka 2002. Uamuzi ulichukuliwa kwamba EAC inaingia trade agreements zote (sio EU tu)
You actually think European will produce fast moving consumer goods for African mass market maana kama tunazungumzia viwanda ndio sampuli hakuna zaidi? sanasana kikubwa kwao labda malighafi that is the only comparative advantage, kuwekeza kwenye viwanda, au services sector ndani ya afrika kwa soko la afrika na pengine hayo makubaliano ni stability ya sera.
Lakini sidhani kabisa kama kuna mtu mwenye akili timamu kutoka ulaya atengenezee bidhaa kwa madhumuni ya soko la afrika mashiriki with what purchasing power wakati asilimia kubwa inaishi kwa mlo mmoja. Hawa ndio wataalamu wenyewe
Viwanda vya kodi ya kuku, mbuzi na baskeli? Au viwanda vya kuzalisha intelijensia ya kuzuia mikutano ya upinzani?Tanzania yatangaza kujitenga na Afrika Mashariki na Ulaya ili kuleta viwanda
..Tanzania kuwa soko la bidhaa badala ya nchi ya viwanda
... ambayo imeleta sintofahamu kubwa
EAC Treaty imefanyiwa amendments 2006 and 2007, hiyo communique ya mkutano wa 2002 haukuingizwa kwenye treaty.
It is not binding.
Ingekuwa binding usingenitajia communique ya mkutano, ungenitajia article of the treaty. Hakuna!
Kuhusu mfano wako wa EU, si kila kinachoamuliwa EU lazima member states wote wame sign up. UK haikuwemo Schengen VISA wala haikuwemo pesa ya Euro. Ungewezaje kumzuia asifanya mambo yake kivyake regionally wakati hata hela yenu ya umoja haitambui na mipaka yenu ya ki Visa haiheshimu??
Hatutaki hii miungano ungano ya kutuingiza mikenge tena hii, hatukubali!
It is very binding.
Why is not in the treaty?