Tanzania yatangaza kujitenga na Afrika Mashariki na Ulaya ili kuleta viwanda

There is a kind of cynicism among Tanzanians. Let us get fully involved into EAC affairs , why are we scared? The world is changing faster, we can't manage to be an island of its own.
The person who justify this cowardice attemp of some officials in Tanzania based on the referendum done in Uk is irrelevant and it doesn't help at all. In fact, I suspect he does not know what Great Britain has to go through after leaving the Eu. In fact, to say we need to build an industrialized Tanzania doesn't mean that we must have a closed market. We should let our products compete with other products. Above all, in signing such an agreement will enable us to have a large market of our goods and services.
Let get the deal done guys, do we need to be suspicion all the time?
 
wakuu,

nathani ni jana tu niliandika kuhusu wa waafrica kujitoa kwenye mashirikisho ambayo hayana maaana kwa waafrica Zaidi ya unyonyaji.
Ila niwakumbushe au kusema nitoe tahathari kuwa,kushirikiana na nchi nyingine ndani ya Africa ni kitu muhimu sana.
siamini kuwa,waafrica tunatakiwa kutengana Zaidi ya kuzidi kushirkiana,kiuchumi,ulinzi na mambo mengine mengi.

Kwahiyo mkuu unataka africa tujitenge tuwe kama kisiwa?
 
mimi na tuliungana zamani tukachafukiana njiani yakesha Nani Tena kanzisha na sababu za kuvunjika za zama zile hatukuzitia maanaani sasa sisi tuwasaidie vipi
 
Hahahaaa. Nchi inaogopa kulizwa na wajanja kama ilivyokuwa mwaka 77 ilipovunjika jumuiya. Washa umwa na nyoka

Hapo sasa ndio umekuna kwenye mwasho! Huu ndio ukweli mtupu. Sisi ni waoga. Ndio maana tunasema kitu kimoja..baadae tunakuja kusema kingine. Yaani tunaogopa tutalizwa. Swali ni hili: tutaendelea kuwa wafungwa wa historia mpaka lini? EAC ya kwanza ilikufa..tukakubali kuunda nyingine...kwanini tunasita kutumia fursa zake kamili?
 
kanuni za EAC ni kwamba mikataba kama hii EPA inayotakiwa kuingiwa na jumuiya ya ulaya, ni lazma iingie jumuiya nzima..sio nchi moja moja.


Naomba niwekee hapa hiyo kanuni inayosema nchi mwanachama hawezi kuingia mkataba na EU au na jumuiya nyingine ya kimataifa isipokuwa kwa kupitia jumuia nzima. Na kwamba Jumuiya ikishaamua kuingia treaty na ma regions mengine lazima kila nchi iingine.

Kwamba Tanzania ikataka kujiunga na OIC lazima tui convince EAC tuingie nayo wote. Na EAC ikiamua kuingia OIC lazima kila nchi iiingie.

Weka hapa hiyo kanuni.

Treaty ya EAC inapatikana kirahisi sana mitandaoni. Tafuta kanuni hiyo tuliyoivunja weka hapa.
 
Hapo sasa ndio umekuna kwenye mwasho! Huu ndio ukweli mtupu. Sisi ni waoga. Ndio maana tunasema kitu kimoja..baadae tunakuja kusema kingine. Yaani tunaogopa tutalizwa. Swali ni hili: tutaendelea kuwa wafungwa wa historia mpaka lini? EAC ya kwanza ilikufa..tukakubali kuunda nyingine...kwanini tunasita kutumia fursa zake kamili?
Sababu ndio hizo hizo hapo juu mkuu. Na kujifungia hadi lini nadhani hadi nchi izalishe wajanja wake na pia wawe wababe kwa nchi nyingine. Sisi bado wazembe kwenye international arena
 
naomba niwekee hapa hiyo kanuni inayosema nchi mwanachama hawezi kuingia mkataba na EU bali lazima aingie na jumuia nzima.

Rejea communique ya mkutano wa mwaka wa EAC ya mwaka 2002. Uamuzi ulichukuliwa kwamba EAC inaingia trade agreements zote (sio EU tu) kama jumuiya na siyo nchi moja moja. Na hii ni kawaida unapokua na jumuiya yenye umoja wa forodha. Ndio maana huwezi ukaingia mkataba na ujerumani au ufaransa. Lazma uingie mkataba na EU...ukishaingia mkataba na EU umeingia mkataba na wanachama wake wote. Kwahiyo tanzania kuwa na ndimi mbili kunawachelewesha wana EAC wenzetu ambao wanataka sana kuingia huu mkataba na EU.
 
Sababu ndio hizo hizo hapo juu mkuu. Na kujifungia hadi lini nadhani hadi nchi izalishe wajanja wake na pia wawe wababe kwa nchi nyingine. Sisi bado wazembe kwenye international arena

Sikubali kabisa kwamba watanzia milioni 40 wote ni wazembe na hatuwezi kabisa kupata watu mahiri wakutuwakilisha kwenye hii mikutano ya kimataifa. Lakini hebu tuassume kwamba kweli sisi wote ni wazembe...tutakuwaje wajanja kwa kujifungia humu wazembe watupu? Tutakua wajanja kwa kujiruhusu kupambana na hao wenzetu ambao watatulazimisha kujanjaruka.
 
You actually believe European businesses will produce fast moving consumer goods for African mass market maana kama tunazungumzia viwanda ndio sampuli tunayoweza hakuna zaidi? sanasana kikubwa kwao labda malighafi that is the only comparative advantage in EA kwao, kuwekeza kwenye viwanda, au services sector ndani ya EA kwa soko la afrika na pengine hayo makubaliano yanachotafutaa ni stability ya sera.

Lakini sidhani kabisa kama kuna mtu mwenye akili timamu kutoka ulaya atengenezee bidhaa kwa madhumuni ya soko la afrika mashiriki with what purchasing power wakati asilimia kubwa inaishi kwa mlo mmoja. Hawa ndio wataalamu wenyewe duuh
 
Rejea communique ya mkutano wa mwaka wa EAC ya mwaka 2002. Uamuzi ulichukuliwa kwamba EAC inaingia trade agreements zote (sio EU tu)
EAC Treaty imefanyiwa amendments 2006 and 2007, hiyo communique ya mkutano wa 2002 haukuingizwa kwenye treaty.

It is not binding.

Ingekuwa binding usingenitajia communique ya mkutano, ungenitajia article of the treaty. Hakuna!

Kuhusu mfano wako wa EU, si kila kinachoamuliwa EU lazima member states wote wame sign up. UK haikuwemo Schengen VISA wala haikuwemo pesa ya Euro. Ungewezaje kumzuia asifanya mambo yake kivyake regionally wakati hata hela yenu ya umoja haitambui na mipaka yenu ya ki Visa haiheshimu??

Halafu hili la "tunawachelewesha wenzetu..." sisi tunajali MASILAHI YETU SISI, we couldn't care less about the speed or when or whether other member states will join whomsoever they wish. Waendelee kivyao vyao, tumewazuia?

Hatutaki hii miungano ungano ya kutuingiza mikenge tena hii, hatukubali!
 
You actually think European will produce fast moving consumer goods for African mass market maana kama tunazungumzia viwanda ndio sampuli hakuna zaidi? sanasana kikubwa kwao labda malighafi that is the only comparative advantage, kuwekeza kwenye viwanda, au services sector ndani ya afrika kwa soko la afrika na pengine hayo makubaliano ni stability ya sera.

Lakini sidhani kabisa kama kuna mtu mwenye akili timamu kutoka ulaya atengenezee bidhaa kwa madhumuni ya soko la afrika mashiriki with what purchasing power wakati asilimia kubwa inaishi kwa mlo mmoja. Hawa ndio wataalamu wenyewe

Lazma tukubali kwamba kila nchi (or in this case..jumuiya) ina interests zake kwenye economic partnerships. Ni kweli..EU most likely wanataka materials...lakini sisi tunapata nini? Preferential (or maybe even duty free) access kwenye soko lao. Kwa nchi ambayo inataka kuwa na uchumi wa viwanda..ningedhani hii ni habari njema. Maama hivyo viwanda vikizalisha..pale ndeo penye soko kubwa na lenye hela nyingi. So let's look not only at what they get..lets look at what we get.

Ila mwisho wa yote...interest yangu kubwa zaidi ni kwamba tuamue moja. Kama tunataka kujifunga na kujitenga na nchi zingine(jambo.ambalo.sikubaliani nalo binafsi)...basi tuamue hivyo na wenzetu wajue ndio maamuzi yetu. Tuache hii tabia ya kugeukageuka kila saa.
 
Tanzania yatangaza kujitenga na Afrika Mashariki na Ulaya ili kuleta viwanda
..Tanzania kuwa soko la bidhaa badala ya nchi ya viwanda
... ambayo imeleta sintofahamu kubwa
Viwanda vya kodi ya kuku, mbuzi na baskeli? Au viwanda vya kuzalisha intelijensia ya kuzuia mikutano ya upinzani?

Kile kiwanda cha ku-sensor na ku-edit mikutano na mijadala ya bunge kwa ajili ya wadanganyika kimeshakamilika?
 
Hivi nyinyi wapumbavu mnaju mnacho jadili au ? Kushilikiana siyo kutia sahii hayo mambo hata usipotia sahii unashilikiana tu wala akuna kuzuiwa kwa bidhaa zenu kuuzwa nje muwe na akili japo kidogo mana naona mnasema tutauza wapi tukijitoa .kujitoa akuzuhii ushilikiano wowote watu kama nyinyi ndiyo wanatumwa huko kujadili wasivyo vielewa
 
EAC Treaty imefanyiwa amendments 2006 and 2007, hiyo communique ya mkutano wa 2002 haukuingizwa kwenye treaty.

It is not binding.

Ingekuwa binding usingenitajia communique ya mkutano, ungenitajia article of the treaty. Hakuna!

Kuhusu mfano wako wa EU, si kila kinachoamuliwa EU lazima member states wote wame sign up. UK haikuwemo Schengen VISA wala haikuwemo pesa ya Euro. Ungewezaje kumzuia asifanya mambo yake kivyake regionally wakati hata hela yenu ya umoja haitambui na mipaka yenu ya ki Visa haiheshimu??

Hatutaki hii miungano ungano ya kutuingiza mikenge tena hii, hatukubali!

It is very binding. Kumbuka hapa tunaongelea specifically economic partnership agreements. Ukishakua na jumuiya yenye customs union na common market...huwezi tena kama nchi ukaanza kuingia economic partnership agreements peke yako...maana wewe ni soko moja na wenzako..so lazma muingie pamoja. Hata hao UK unaowasema...walijitenga na EU kwenye mengine..lakini kwenye partnership agreements hawakuweza. Kwahiyo kama wangeendelea kubaki ndani ya EU..hii EPA ingewahusu na wao pia.
 
Why is not in the treaty?

Ngoja jua lichomoze nitapata nguvu ya kukuletea hiyo treaty yako. Lakini this is very common knowledge...hakuna customs union na common market duniani ambayo wanachama wake wanaingia EPA peke yao. Once you agree to enter into a customs union and common market (like EAC and EU)...you cede powers of entering EPAs to the group. Hii ni a very well known fact.
 
Back
Top Bottom