Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 62,858
- 110,323
EtwegeView attachment 3158170
Tanzania inadaiwa kudondokea pua katika mwendelezo wa kesi zinazoikabili ambapo sasa itatakiwa kuilipa Kampuni ya Montero zaidi ya Tsh. Bilioni 71 kama fidia kukiuka mkataba.
Inadaiwa kuwa tayari Novemba 20, 2024, Serikali imeshalipa Tsh. Bilioni 30 na zilizobaki inatakiwa kuzilipa mara mbili kati ya January na Februari 2025.
Imekuwa ni kawaida sasa kwa Tanzania kushindwa kwenye mahakama za kimataifa.
Rejea pia kesi hii: Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92
Kesi nyingine: