Kabla hujaamua kuropoka, jaribu kujiweka kwenye viatu (nafasi) vyake.Mama mnafiki kupindukia.
Mimi nimeweka maneno yenye staha wewe huridhiki, sikuelewi unaposema "kuropoka"Kabla hujaamua kuropoka, jaribu kujiweka kwenye viatu (nafasi) vyake.
Mama hapo kwenye kushabikia ukabila nakupinga kwa nguvu zote. Ukabila utatusaidia nini karne hii? Ukabila ni hatua tulizopitia katika maendeleo yetu, hatupaswi kurudi nyuma. Wewe ukiambiwa kwa kuwa maisha ya chekechea yalikuwa mazuri ya kuchezea bembea na kunywa uji, basi urudi chekechea ukafurahie maisha, utakubali? Tumeshatoka huko kwenye ukabila, tafadhali sana mama.
Soma bandiko lote mkuu. Amechanganyiamo kama sandwich.Mkuu umemsoma vizuri kaongelea ukabila kwenye hili bandiko lake huyu mama RC?
Neno kuropoka lina staha vile vile. Kwenu nyinyi kila mtu ni mnafiki ili mradi hayagusi maslahi yenu.Mimi nimeweka maneno yenye staha wewe huridhiki, sikuelewi unaposema "kuropoka"
Narudia tena "huyu mama ni mnafiki sana"
Alipokuwa anagombea urais alikuwa anapingana na sera za ccm, ameongea hadharani kuwa sera za ccm ni mbovu.Neno kuropoka lina staha vile vile. Kwenu nyinyi kila mtu ni mnafiki ili mradi hayagusi maslahi yenu.
Mama anayo haki ya kukiunga mkono chama chochote kile, halafu ni mstaarab vile vile.
Nielewe nilivyokwambia kwamba jiweke kwenye viatu vyake, usiongee kwa sababu uwezo wako labda ni wa kuishia kuweka bando na kuingia jamii forum kwa ajili ya kuwakejeli wengine.
Alipokuwa anagombea urais alikuwa anapingana na sera za ccm, ameongea hadharani kuwa sera za ccm ni mbovu.
Lini aliyakanusha maneno yake?
Mjibie swali hili maana uu mtiifu kwake.