Tanzania under the worst dictatorship ever

Mkuu kwamba huoni udikteta wa MAGUFULI?? mkuu ni kweli kabisa huoni??
Wewe unaedhania JPM ni dikteta ushafika Rwanda, Ushafika Uganda, Burundi sitaki kuisemea.

Sometimes watu hamjui thamani ya dhahabu kwa kuwa unaona kitu kwa mbali kinang'ara na unatamani kuwa nacho, kumbe mkononi una dhahabu
 
We K nini.. UJINGA HUWEZI LINGANISHA NA UJINGA. MPUMBAVU MKUBWA WEWE. SISI TULIOKO NDANI TUNAFEEL HUO UDIKTETA NA UKABILA WA WAZIWAZI ACHILIA MBALI UDINI.
SASA NAKUAMBIA NA WENZAKO WAJUE. NIMELINDA AMANI DRC NA SUDAN. USILETE UJINGA MAGU SIO KIONGOZI WA MAANA. KAIKUTA NCHI IKO NA MISINGI IMARA HAINA UKABILA YY KAINGIZA NA MATUMIZI YA NGUVU KUWAGANDAMIZA WENGINE..
 
We K nini.. UJINGA HUWEZI LINGANISHA NA UJINGA. MPUMBAVU MKUBWA WEWE. SISI TULIOKO NDANI TUNAFEEL HUO UDIKTETA NA UKABILA WA WAZIWAZI ACHILIA MBALI UDINI.
Kwa mtu mwenye akili na busara na utimamu upstairs... hoja hojibiwa kwa hoja...
Kwa wewe ulifikia kiwango cha kutoa matusi tena ya nguoni, inadhihirisha hadhari kichwani kuna nini.
 
Yah ni bora tutumie hayo matusi labda mtaelewa, kwa maana wengi wenu mnaingiza ukabila katika mambo ya kitaifa. Baba wa Taifa letu angekuwa hivyo tungekuwa wapi leo?
Watu wapewe uhuru wa kuandamana na kueleza feelings zao ni haki yao kikatiba kwann uwazuie eti wachape kazi how stupid. KAZI HUTOI AFU UNATAKA WATU WACHAPE KAZI.
Jamaa aache kutupa kazi ya kumlimda kwa ujinga wake mwenyewe.
 
Mkuu kwamba huoni udikteta wa MAGUFULI?? mkuu ni kweli kabisa huoni??
Mkuu Antonio, Magufuli ni dikiteta kweli na hakuna asiyeuona udikiteta wake, ila huyu ni dikiteta mzuri, anayetumia udikiteta kuleta maendeleo.

Magufuli ni Dikiteta Mwema au Dikiteta Mzalendo anayeitwa a Benovelent Dictator!, kama Seretse Khama wa Botswana, Tito wa Yugoslavia, Lee Kuan Yew wa Singapore, Mustafa Kemal wa Uturuki, hawa wote walitawala kwa mkono wa chuma na kuleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, toka kwenye umasikini, hadi kugeuka kuwa ni nchi tajiri, hivyo Tanzania pia sio nchi masikini, tuko kwenye umasikini huu kwa sababu tulikosa mtu wa kutuongoza, hivyo hapa tulipofika, ili Tanzania tutoke kwenye umasikini huu, tunamuhitaji mtu kama huyu ili mambo yaende!.

P
 
Mkuu Antonio, Magufuli ni dikiteta kweli na hakuna asiyeuona udikiteta wake, ila huyu ni dikiteta mzuri, anayetumia udikiteta kuleta maendeleo, anaitwa Benovellent Dictator, na Tanzania tulipofikia, tulimuhitaji mtu kama huyu.

P
Kwa hiyo Mkuu Paskali hata hii tabia ya watu kuuliwa kutekwa na kupotezwa na watu wasiojulikana katika utawala huu ni mikakati ya maendeleo sio?

Jiwe kutaka asifiwe tu ndo mikakati ya kuleta maendeleo,mi nafikiri dikteta sio lazima auwe kundi kubwa la raia wake hata hivi tunavyofanyiwa ubaguzi,hataki tumkosoe ndo udikteta wenyewe huu
 
Mkuu Antonio, Magufuli ni dikiteta kweli na hakuna asiyeuona udikiteta wake, ila huyu ni dikiteta mzuri, anayetumia udikiteta kuleta maendeleo.

Magufuli ni Dikiteta Mwema au Dikiteta Mzalendo anayeitwa a Benovelent Dictator!, kama Seretse Khama wa Botswana, Tito wa Yugoslavia, Lee Kuan Yew wa Singapore, Mustafa Kemal wa Uturuki, hawa wote walitawala kwa mkono wa chuma na kuleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi kwa nchi zao, toka kwenye umasikini, hadi kugeuka kuwa ni nchi tajiri, hivyo Tanzania pia sio nchi masikini, tuko kwenye umasikini huu kwa sababu tulikosa mtu wa kutuongoza, hivyo hapa tulipofika, ili Tanzania tutoke kwenye umasikini huu, tunamuhitaji mtu kama huyu ili mambo yaende!.

P
HAKUNA UDIKTETA MZURI NASISITIZA HAKUNA. WAACHE WATU WAWE HURU NCHI HII NI YA WANACHI NA NI HAKI YAO KUFURAHIA NCHI YAO SIO VITISHO KILA SIKU. IKO SIKU ATAGOMEWA MAAGIZO YAKE YASIYO NA AKILI.
UKIWA DIKTETA UNATAKA UTAWALE HADI AKILI ZA WATU.
ACHA UHURU WA WATU WAAMUE KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LAO.
 
Kwa hiyo Mkuu Paskali hata hii tabia ya watu kuuliwa kutekwa na kupotezwa na watu wasiojulikana katika utawala huu ni mikakati ya maendeleo sio?

Jiwe kutaka asifiwe tu ndo mikakati ya kuleta maendeleo,mi nafikiri dikteta sio lazima auwe kundi kubwa la raia wake hata hivi tunavyofanyiwa ubaguzi,hataki tumkosoe ndo udikteta wenyewe huu
Siungi mkono kuuwawa au kutekwa kwa mtu yeyote.

Lakini niulize swali kuweka sawa kumbukumbu;
Dr. Sengondo Edmound Mvungi, hakuuwawa utawala huu; na vyombo vya dola vinafanya uchunguzi.

Dr. Ulimboka alikutwa Mabwepande, hakuwa utawala huu; and the list goes on.

Si sawa kumlaumu JPM kwa makosa ambayo mkono wake haujahusika moja kwa moja... sio sawa hata kidogo
 
UJINGA NA UJINGA HAULINGANISHWI...
Mauaji mengi yametokea utawala huu afu bila hatua kuchukuliwa.
Magufuli anahusika kwa asilimia kubwa kwenye mauaji ya watu wengi.
 
Kwa hiyo Mkuu Paskali hata hii tabia ya watu kuuliwa kutekwa na kupotezwa na watu wasiojulikana katika utawala huu ni mikakati ya maendeleo sio?

Jiwe kutaka asifiwe tu ndo mikakati ya kuleta maendeleo,mi nafikiri dikteta sio lazima auwe kundi kubwa la raia wake hata hivi tunavyofanyiwa ubaguzi,hataki tumkosoe ndo udikteta wenyewe huu
Hakuna uthibitisho kuwa serikali inahusika na wasiojulikana.

Nani kakwambia rais Magufuli hataki kukosolewa?. Mbona kila siku anakosolewa humu jf, na mtandao huu upo, angekuwa hataki kukosolewa jf ingekuwepo hadi leo?.

Kitu muhimu cha kuzingatia kwenye ukosoaji ni

P
 
We have either seen, heard, and or read about what happened to the MP Mnyika in the house a day before yesterday.

A ccm MP blurted to him, "you're a thief ", but Mnyika chose to maintain prudence and inquired the speaker to act upon, what took place showed the world that, the house speaker not only he is a fool (being called a fool is not defiance nor insult but a fool is a person who bears no wisdom) but he is more than a fool.

At the moment, it's very unsafe to be an opponent in Tanzania, the rulers are as finding themselves as gods, they don't opt to be opposed, all they think about is to be upheld even if they blunder to the great extent.

Each ccm leader is full of ferocious hatred against the opponents as if they are not our fellow Tanzanians.

I personally wanted to take part in politics, but I sat down and pondered deep over this and I finally concluded to refrain from Tanzania's politics for my own good and the family besides.

These people think that, they will never come to an end, their thoughts are too weak to envisage,they think that ccm will not get out of saddle.

We all still recollect how Speaker Ndugai smashed his rival by a rod on his head, in such a way that he became unconscious and went into coma.

Because they are drunken by power and they are not God fearing, to them Tanzania is theirs, and they think they have a copyright on it.

I wish UKUTA should be brought back, for how long will we keep on fearing of the tyrants? we better confront them than not, it's time to wake up for our own sake, the country is ours, and it does not belong to a certain group of people.

We have a choice to choose any party which we want,and not to be chosen for us by bandits.
[/QU

As you have seen bro. The time will tell us
 
Inaelekea mwandishi hajui maana ya 'dictatorship'. Lakini pia anasema yeye kaacha kuingia kwenye siasa kwa ajili yake na familia yake, ila anaomba ukuta, sasa sijui atashiriki au la! Anaonekana ni kama mnyama mmoja 'nyumbu'. Pole sana.
This thread has vivid shown how the state of rulling n opposition party at war we have seen the speaker openly differ to the CAG what of the opposition all l can comment is that jiwe is on mission n his mission is some man show its either your with him or your oppose he will cope u alive
 
Wewe unaedhania JPM ni dikteta ushafika Rwanda, Ushafika Uganda, Burundi sitaki kuisemea.

Sometimes watu hamjui thamani ya dhahabu kwa kuwa unaona kitu kwa mbali kinang'ara na unatamani kuwa nacho, kumbe mkononi una dhahabu
Nikikuita zero brain nitakuwa nakupa hadhi kubwa sana, you're more than an imprudent man, yaani janga la Tanzania JPM unaita dhahabu?
 
We have either seen, heard, and or read about what happened to the MP Mnyika in the house a day before yesterday.

A ccm MP blurted to him, "you're a thief ", but Mnyika chose to maintain prudence and inquired the speaker to act upon, what took place showed the world that, the house speaker not only he is a fool (being called a fool is not defiance nor insult but a fool is a person who bears no wisdom) but he is more than a fool.

At the moment, it's very unsafe to be an opponent in Tanzania, the rulers are as finding themselves as gods, they don't opt to be opposed, all they think about is to be upheld even if they blunder to the great extent.

Each ccm leader is full of ferocious hatred against the opponents as if they are not our fellow Tanzanians.

I personally wanted to take part in politics, but I sat down and pondered deep over this and I finally concluded to refrain from Tanzania's politics for my own good and the family besides.

These people think that, they will never come to an end, their thoughts are too weak to envisage,they think that ccm will not get out of saddle.

We all still recollect how Speaker Ndugai smashed his rival by a rod on his head, in such a way that he became unconscious and went into coma.

Because they are drunken by power and they are not God fearing, to them Tanzania is theirs, and they think they have a copyright on it.

I wish UKUTA should be brought back, for how long will we keep on fearing of the tyrants? we better confront them than not, it's time to wake up for our own sake, the country is ours, and it does not belong to a certain group of people.

We have a choice to choose any party which we want,and not to be chosen for us by bandits.
Never underestimate the power of stupid people in large groups.
 
Nikikuita zero brain nitakuwa nakupa hadhi kubwa sana, you're more than an imprudent man, yaani janga la Tanzania JPM unaita dhahabu?
Ukikuta katika jamii kuna watu wanajiunga na forum kama JF; forum ya great thinkers. Hoja inajibiwa kwa matusi, ujue kuna shida kubwa sana.
Maana hujui wanalosimamia, hawaoneshi uzuri wa wanachosimamia ili kushawishi wengine wawaunge mkono.

Na hii ni moja ya changamoto kubwa kama taifa ambayo tunatakiwa kui-address. Watu wa aina ya My Son drink water. Hajui analosimamia na anajikuta akidhani kwa kutukana matusi hoja yake itasikizwa, kumbe anapoteza nafasi ya kuonesha ni jambo gani anasimamia ili kama kuna fursa ya kusikizwa, basi asikizwe.
Pole, maana uko miongoni mwa wasiojua walitendalo
 
Hahahahah, matunda ya Elimu ya CCM ndo haya sasa, yaani hujui hata matusi yakoje, liko wapi tusi hapo?
 
Aisee tuendako siyo kuzuri. Tutaishia kama Sudani na Libya. Mungu atuponye. Hizi chuki zikiendelea hivi na serikali kama haitasikia kilio cha wananchi basi kuna bono somewhere. Mbaya zaidi bomu alitaangalia chadema au ccm. Wote tutaogelea kweny mto mmoja. Biblia inasema Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa. Mnaofanya maovu kwa makusudi Mungu anawaona.
 
We have either seen, heard, and or read about what happened to the MP Mnyika in the house a day before yesterday.

A ccm MP blurted to him, "you're a thief ", but Mnyika chose to maintain prudence and inquired the speaker to act upon, what took place showed the world that, the house speaker not only he is a fool (being called a fool is not defiance nor insult but a fool is a person who bears no wisdom) but he is more than a fool.

At the moment, it's very unsafe to be an opponent in Tanzania, the rulers are as finding themselves as gods, they don't opt to be opposed, all they think about is to be upheld even if they blunder to the great extent.

Each ccm leader is full of ferocious hatred against the opponents as if they are not our fellow Tanzanians.

I personally wanted to take part in politics, but I sat down and pondered deep over this and I finally concluded to refrain from Tanzania's politics for my own good and the family besides.

These people think that, they will never come to an end, their thoughts are too weak to envisage,they think that ccm will not get out of saddle.

We all still recollect how Speaker Ndugai smashed his rival by a rod on his head, in such a way that he became unconscious and went into coma.

Because they are drunken by power and they are not God fearing, to them Tanzania is theirs, and they think they have a copyright on it.

I wish UKUTA should be brought back, for how long will we keep on fearing of the tyrants? we better confront them than not, it's time to wake up for our own sake, the country is ours, and it does not belong to a certain group of people.

We have a choice to choose any party which we want,and not to be chosen for us by bandits.

My son drink water,
Your thread made my day!
You sound like Tata Madiba of old under the Boers regime……!
 
Back
Top Bottom