Tanzania tulichelewa kumpata Rais kama Dr. Magufuli

Kwa hiyo ulitaka aanze kugawa fedha kwa kila mtu ndiyo ujue kuwa anajenga uchumi?
Ndio umemaliza kutafakari au bado unaendelea? Kukuza uchumi kwa maana yako ni kugawiwa hela. Hebu tafakari tena maana ya kukuza uchumi.
 
That is the positive outcome ya Elimu bure ,,it shows wanafunzi wengi walikuwa hawapati access ya elimu kutokana na ada ,,but so long as Elimu iko free wengi wana anza darasa LA kwanza na form one na ndo maana unaona hayo mafuriko,,kila maendeleo yana changamoto zake na hizo ndo changamoto tunazozikabili and with time zitakwisha,,wewe huwezi ona mazuri na sitegemei uone
Sina uhakika kama una mtoto. Na kama unae sidhani kama anasoma hizo shule
 
Mada kama hizi binafsi sishangai, wakati mwingine unaweza hisi labda aliyeandika hakusoma au mgonjwa wa akili kumbe ni mzima kabisa na msomi wa PHD za Mtanzania.
 
Back
Top Bottom