Tanzania on Twitter (TOT)

Watanzania vitu kama hivyo sasa ndio vinatushikaga akili!!

Mkuu mleta mada hata huku ulipoleta complains upuuzi kama huo upo, ngoja waanzishe shindano lao lolote lile, we uchune kama mie pembeni afu chunguza.

Same applied to insta na hata FB, kipi kifanyike:rolleyes:,
mind your damn business tu, use social network to highlight issues, not to get likes or followers, thats my social network survival philosophy,
otherwise utajiona haufai na useless kabisa, wich in turn will result into SUICIDE:eek:
 
Twitter ya wasomi hio, mambo ya follow, unfollow, retweet sijui refuck wanajuana wenyewe
 
Watanzania vitu kama hivyo sasa ndio vinatushikaga akili!!

Mkuu mleta mada hata huku ulipoleta complains upuuzi kama huo upo, ngoja waanzishe shindano lao lolote lile, we uchune kama mie pembeni afu chunguza.

Same applied to insta na hata FB, kipi kifanyike:rolleyes:,
mind your damn business tu, use social network to highlight issues, not to get likes or followers, thats my social network survival philosophy,
otherwise utajiona haufai na useless kabisa, wich in turn will result into SUICIDE:eek:

Hahahaha..... Haya,
 
Marais wa nchi hii watabanana kweli kweli sijui rais huyu atafanikiwa kufanya Safari za nje ya nchi ahahahahhahah
 
Back
Top Bottom