Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,144
- 26,135
Wasiwasi wako tu,siasa ukiilewa hutashangaa chochoteCDM mnahangaika sana
Wasiwasi wako tu,siasa ukiilewa hutashangaa chochoteCDM mnahangaika sana
Mnajua walichosign ama?Wanasheria wetu wenyewe hawajua kingereza au mkataba umeandaliwa kwa Kiswahili?Hongera marais wetu
Mh John Pombe Magufuli na Mh Yoweri Kaguta Museveni kwa kusaini makubaliano hayo muhimu sana kwa ukuaji wa kiuchumi kwa mataifa yetu
Tatizo siyo kusoma, unachokitaka ni kwamba wasome halafu ionekane mapato yameporomoka sana na nchi imefirisika kabisa - imemshinda MagufuliNaona siku hizi ule utaratibu wa kusoma mapato ya serikali kila mwezi umekufa.
Mnadhani kodi kukusanya bila kuwa na Mipango ya kiuchumi ni mchezo? Huyo babu yenu kaua biashara.TRA tunakunywa nao kahawa mtaani kwa sasa.
Huyo hapo juu yako mkuu, katika post #2.Atatokea Mtu kavaa nguo za Khaki zenye Vishikizo vikubwa anampinga Rais John Magufuli.
Kwahiyo Kama mapato yameporomoka haisomwi? Kwanini yameporomoka?Tatizo siyo kusoma, unachokitaka ni kwamba wasome halafu ionekane mapato yameporomoka sana na nchi imefirisika kabisa - imemshinda Magufuli
- Wakisoma halafu ikaonekana mapato yamepanda utasema yametengenezwa kwa sababu hayakufurahishi.
[HASHTAG]#RohoMbovuNaMbayaZaVijibaNyoka[/HASHTAG]
Tatizo la uhaba wa chakula halijaletwa na serikali. Ni matakwa ya Mwenyezi Mungu. Limekumba nchi nyingi tu barani Afrika. Tena hapa kwetu ni cha mtoto. Kenya kilo ya sembe KShs 200 ambazo ni sawa na TShs 5,000/! Sukari hivyo hivyo, ni double price ya kwetu. Huko Somalia na Sudani watoto wanakufa kwa utapiamulo despite misaada ya nje.Wananchi hatuli mafuta. Sembe kilo 2500, sukari 1kg 3000, biashara hazifanyiki.
Yameporomoka kwa sera mbovu za ******** - Fanya sherehe basiKwahiyo Kama mapato yameporomoka haisomwi? Kwanini yameporomoka?
Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeeee
Sembe kilo 2500 unasema maisha magumu wakati unakunywa bia 5 kila siku na kilo ya kitimotoWananchi hatuli mafuta. Sembe kilo 2500, sukari 1kg 3000, biashara hazifanyiki.
Mtu kazaliwa wakati ITV inaanza matangazo njaa anaijulia wapiTatizo la uhaba wa chakula halijaletwa na serikali. Ni matakwa ya Mwenyezi Mungu. Limekumba nchi nyingi tu barani Afrika. Tena hapa kwetu ni cha mtoto. Kenya kilo ya sembe KShs 200 ambazo ni sawa na TShs 5,000/! Sukari hivyo hivyo, ni double price ya kwetu. Huko Somalia na Sudani watoto wanakufa kwa utapiamulo despite misaada ya nje.
Sisi hakuna aliyeathirika kwa kukosa sembe na sukari. Kigezo cha kisayansi cha kupima baa la njaa kwenye jamii ni kiwango cha utapiamulo (malnutrition rate) na vifo vya watoto walio chini ya miaka 5. The malnutrition rate of the underfive should exceed 30%.This is the definition of famine according to the WHO. Ya kwetu haijawa affected and in fact it is going down, it is less than 1%. Wewe kama unashindwa kumudu hiyo bei ya sembe na sukari kula vyakula vya aina nyingine. Viko aina nyingi tu, utakapokuwa na njaa utavijua.
You need brain surgery asap.Wananchi hatuli mafuta. Sembe kilo 2500, sukari 1kg 3000, biashara hazifanyiki.
Unaongea nini bwege wewe.... Mradi ulikuwa uanze mwaka Jana mwezi wa 5, ukaingia siasa nashangaa unazungumzia nguo kwenye mambo yenye maslahi mapana ya nchi.Atatokea Mtu kavaa nguo za Khaki zenye Vishikizo vikubwa anampinga Rais John Magufuli.
Acha hizo ndugu kila siku wewe kulalamika tu, huna jema? Au unatania kuchangamsha jukwaa wakati mwingine?Wananchi hatuli mafuta. Sembe kilo 2500, sukari 1kg 3000, biashara hazifanyiki.