Tanzania kuwa Economical Power Africa 2025

Ili mambo yaweze kwenda kwa kasi kubwa na kufikia adhima ya serikali kwamba ifikapo 2025 Tanzania kuwa power house ya economic hapa afrika.

Watu wengi bado wapo kwenye mawazo ya zamani hawataki kubadilika. Na katika safari ya kisonga mbele inakuwa ni shida sana kuwa na watu ambao hawapo tayari kubadilika. Lakini jambo jema ni kuachana na watu hao na kusonga mbele.

Wanachotakiwa waendelee na mawazo yao lakini wasijaribu kukwamisha jitihada za serikali katika adhima ya kusonga mbele kwa kasi. Hakuna mabadiliko yanayoweza kutokea kwa kuendekeza vitu ambavyo vinarudisha nyuma jitihada yetu.

Watu wenye fikra zilizo dumaa na kubaki katika mawazo mfu ya nyuma ni kuwaacha na sisi kusonga mbele. Lazima taifa lijengwe katika misingi ya kufuata sheria na utaratibu. Sio kuutumia uhuru kwa nia ya kukwamisha jitihada ya kusonga mbele.

Hakuna mtu asiyependa mafanikio ya nchi hii. Lakini kuna baadhi ya watu hasa vyama vya upinzani kila kukicha kuombea tuweze kukwama. Lengo lao ni kwamba wanadhani ni wao wenye dhamana ya adhima ya serikali kufikia uchumi mkubwa.

Hawa watu ninawafananisha na watu huku mitaani wenye roho za korosho. Kila kukicha wanawaza kwamba kwanini yeye apate?

Nchi hii ni ya watanzania na chama cha mapinduzi ndio chenye dhamana ya kuiongoza.
Ninapenda kunukuu maneno ya Shibuda alisema kwamba kama watu wawili wanashidania kumposa binti na bahati mmoja akakubaliwa na akaweza kumuoa, basi huyo wa pili anatakiwa kukaa kimya na kuacha chokochoko za kutaka kuvuruga ndoa. Naye akialikwa kwenye arusi hana budi kwenda. Na huo ndio uungwana.

Yale maneno ya chonganishi wakati wewe umeshindwa hayawezi kujenga zaidi ni kubomoa.
Lakini kwakua serikali iliyo madarakani imeona tatizo hilo la roho za korosho. Itahakikisha inawachukulia hatua wote wanaotaka kuturudisha nyuma. Hapa hakuna kuangalia sifa ya mtu.

Ni hayo. Mawazo huru.
Nimekukubali.tuko pamoja
 
Mk

Mkuu, tufikie mbali zaidi. Kwa nini ufikirie baiskeli ya jirani kama unaweza kufikiria gari?
Ni kweli unachokisema. Ni vyema tukapanua mipango yetu ili tujue kuwa tunamajukumu makubwa na tuweze kufanya kazi kwa nguvu.

Ukiwa na mipango midogo midogo hata aina ya utendaji kazi inabidi uendane na mipango midogo midogo laki kwa mipango mikubwa inabidi kukaza buti.
 
Maneno meengi,ujinga mtupu,afu kingereza sijui ulifundishwa na Magu? Kasome upya Tzn vision 2025 ndo uje kuandika upya
 
Wewe ndio mmoja wa wale niliowaongelea kwenye hii thread. Ukiwa na fikra za kimaskini hakika kazi yako ni kuangalia negative. Sikulaumu kwa hilo kwa sababu hiyo huwa ni tabia. Ni vyema sasa ukapanua uwezo wa kifikiri maana najua unaweza fanya zaidi ya hapa.

Unahaki ya kuwa na mawazo hayo hiyo ni haki yako.
 
Kufikia uchumi wa kati kwa kupiga ramli labda...ila kwa washauri wenye elimu za mwendo kasi kama za je..ska ,hatufiki......
 
Hata wakati wa nuhu wengi sana walikufa kwasababu walikuwa na mawazo kama yako.

Kitu kirahisi sana duniani ni uzembe na umasikini wa akili. Mtu aliye maskini wa fikra mara nyingi huwaza kufail.

Lakini mtu aliye tajiri katika akili yake hupambana ili afikie adhima ya malengo yake. Hujitahidi kushughulikia changamoto zilizo mbele yake. Huwa hakati tamaa. Akianguka hujitahidi kuinuka.

Hakuna mtu yeyote aliyewahi kufanikiwa bila changamoto.

Ukiweka mipango mikubwa lazima uwaze kwa upana zaidi.

Mzazi mpumbavu humpatia mwanae samaki lakini mzazi mwenye hekima humpatia mtoto wake mbinu na dhana za kuvua samaki.
Take care. Hayo ni mawazo yako.
 
Ili mambo yaweze kwenda kwa kasi kubwa na kufikia adhima ya serikali kwamba ifikapo 2025 Tanzania kuwa power house ya economic hapa afrika.

Watu wengi bado wapo kwenye mawazo ya zamani hawataki kubadilika. Na katika safari ya kisonga mbele inakuwa ni shida sana kuwa na watu ambao hawapo tayari kubadilika. Lakini jambo jema ni kuachana na watu hao na kusonga mbele.

Wanachotakiwa waendelee na mawazo yao lakini wasijaribu kukwamisha jitihada za serikali katika adhima ya kusonga mbele kwa kasi. Hakuna mabadiliko yanayoweza kutokea kwa kuendekeza vitu ambavyo vinarudisha nyuma jitihada yetu.

Watu wenye fikra zilizo dumaa na kubaki katika mawazo mfu ya nyuma ni kuwaacha na sisi kusonga mbele. Lazima taifa lijengwe katika misingi ya kufuata sheria na utaratibu. Sio kuutumia uhuru kwa nia ya kukwamisha jitihada ya kusonga mbele.

Hakuna mtu asiyependa mafanikio ya nchi hii. Lakini kuna baadhi ya watu hasa vyama vya upinzani kila kukicha kuombea tuweze kukwama. Lengo lao ni kwamba wanadhani ni wao wenye dhamana ya adhima ya serikali kufikia uchumi mkubwa.

Hawa watu ninawafananisha na watu huku mitaani wenye roho za korosho. Kila kukicha wanawaza kwamba kwanini yeye apate?

Nchi hii ni ya watanzania na chama cha mapinduzi ndio chenye dhamana ya kuiongoza.
Ninapenda kunukuu maneno ya Shibuda alisema kwamba kama watu wawili wanashidania kumposa binti na bahati mmoja akakubaliwa na akaweza kumuoa, basi huyo wa pili anatakiwa kukaa kimya na kuacha chokochoko za kutaka kuvuruga ndoa. Naye akialikwa kwenye arusi hana budi kwenda. Na huo ndio uungwana.

Yale maneno ya chonganishi wakati wewe umeshindwa hayawezi kujenga zaidi ni kubomoa.
Lakini kwakua serikali iliyo madarakani imeona tatizo hilo la roho za korosho. Itahakikisha inawachukulia hatua wote wanaotaka kuturudisha nyuma. Hapa hakuna kuangalia sifa ya mtu.

Ni hayo. Mawazo huru.
ndoto za alinacha
 
Hata wakati wa nuhu wengi sana walikufa kwasababu walikuwa na mawazo kama yako.

Kitu kirahisi sana duniani ni uzembe na umasikini wa akili. Mtu aliye maskini wa fikra mara nyingi huwaza kufail.

Lakini mtu aliye tajiri katika akili yake hupambana ili afikie adhima ya malengo yake. Hujitahidi kushughulikia changamoto zilizo mbele yake. Huwa hakati tamaa. Akianguka hujitahidi kuinuka.

Hakuna mtu yeyote aliyewahi kufanikiwa bila changamoto.

Ukiweka mipango mikubwa lazima uwaze kwa upana zaidi.

Mzazi ******** humpatia mwanae samaki lakini mzazi mwenye hekima humpatia mtoto wake mbinu na dhana za kuvua samaki.
Take care. Hayo ni mawazo yako.
Kubishana na watu wenye elimu ya magumashi aka mwendo kas ya je..ska siwez ,niseme tu hakuna mantiki ya ulicho andika ...angalia ulichoandika ...ni kama tahira fulani hakiko na mtiririko wenye kuleta maana...ila tatizo ni elimu uluyopata ......tatizo sio wewe...ila kwa watu ambao mnatakiwa kumshauri rais twende uchumi wa kati wenye elimu kama yako ..hatufiki huko kamwe....
 
Hapa ndipo unapoonyesha kitu gani ulichojaza kwenye akili yako.
1. Hapa hatubishani
2. Mtu aliye na akili finyu hujadili mtu.
3. Wewe elimu yako imesaidia nini taifa hili?
4. Hebu jaribu kubadili fikra badala ya kujisifia elimu huku hujui hata dark science (cosmology).
 
Elimu ni muhim sana ,ili hata unapoandika uandike kitu kilicho na mantiki...ukichanganya economic principles na mambo ya biblia tutafikaje....ila nimegundua ugonjwa wako ...ni elimu ya kungaunga kama ya je...ska....ndo maana ,nimekujibu hivyo......
 
Hebu jibu kwanza swali langu nililokuuliza iliniamini kweli wewe upo na elimu. Je elimu yako hiyo unayojisifu nayo imesaidia nini jamii?
 
Ili mambo yaweze kwenda kwa kasi kubwa na kufikia adhima ya serikali kwamba ifikapo 2025 Tanzania kuwa power house ya economic hapa afrika.

Watu wengi bado wapo kwenye mawazo ya zamani hawataki kubadilika. Na katika safari ya kisonga mbele inakuwa ni shida sana kuwa na watu ambao hawapo tayari kubadilika. Lakini jambo jema ni kuachana na watu hao na kusonga mbele.

Wanachotakiwa waendelee na mawazo yao lakini wasijaribu kukwamisha jitihada za serikali katika adhima ya kusonga mbele kwa kasi. Hakuna mabadiliko yanayoweza kutokea kwa kuendekeza vitu ambavyo vinarudisha nyuma jitihada yetu.

Watu wenye fikra zilizo dumaa na kubaki katika mawazo mfu ya nyuma ni kuwaacha na sisi kusonga mbele. Lazima taifa lijengwe katika misingi ya kufuata sheria na utaratibu. Sio kuutumia uhuru kwa nia ya kukwamisha jitihada ya kusonga mbele.

Hakuna mtu asiyependa mafanikio ya nchi hii. Lakini kuna baadhi ya watu hasa vyama vya upinzani kila kukicha kuombea tuweze kukwama. Lengo lao ni kwamba wanadhani ni wao wenye dhamana ya adhima ya serikali kufikia uchumi mkubwa.

Hawa watu ninawafananisha na watu huku mitaani wenye roho za korosho. Kila kukicha wanawaza kwamba kwanini yeye apate?

Nchi hii ni ya watanzania na chama cha mapinduzi ndio chenye dhamana ya kuiongoza.
Ninapenda kunukuu maneno ya Shibuda alisema kwamba kama watu wawili wanashidania kumposa binti na bahati mmoja akakubaliwa na akaweza kumuoa, basi huyo wa pili anatakiwa kukaa kimya na kuacha chokochoko za kutaka kuvuruga ndoa. Naye akialikwa kwenye arusi hana budi kwenda. Na huo ndio uungwana.

Yale maneno ya chonganishi wakati wewe umeshindwa hayawezi kujenga zaidi ni kubomoa.
Lakini kwakua serikali iliyo madarakani imeona tatizo hilo la roho za korosho. Itahakikisha inawachukulia hatua wote wanaotaka kuturudisha nyuma. Hapa hakuna kuangalia sifa ya mtu.

Ni hayo. Mawazo huru.

Sasa namuomba mungu wote tufike huko 2025 tuone jinsi nchi ilivyo na tutaona kama hao CCM unaowaaminia sana kama kweli wanajua wanacho kifanya. Kama katiba na sera hazitabadilishwa, unaweza kuandika ugoro, na hadithi na ndoto zenu zote mnazotaka lakini mnapoteza mda wenu tu.
 
Hebu jibu kwanza swali langu nililokuuliza iliniamini kweli wewe upo na elimu. Je elimu yako hiyo unayojisifu nayo imesaidia nini jamii?
Elimu yangu imenisaidia kutambua watu wenye elimu za mwendokas kama wewe na je...ska kuwa ni ndoto kutufikisha kwenye uchumi wa kati ifikapo 2025.....kwani hamuelewi hata msimacho......na hamjui wapi mnaelekea.......
 
Sasa namuomba mungu wote tufike huko 2025 tuone jinsi nchi ilivyo na tutaona kama hao CCM unaowaaminia sana kama kweli wanajua wanacho kifanya. Kama katiba na sera hazitabadilishwa, unaweza kuandika ugoro, na hadithi na ndoto zenu zote mnazotaka lakini mnapoteza mda wenu tu.
Kwa wale wanaosoma biblia kuna sehemu katika kitabu cha wafalme kinaongelea habari za Elisha. Kwamba kulikuwa na njaa sana katika nchi ile. Basi huyo mtumishi akasema kesho mda kama huu chakula kingi kitapatikana mjini. Mtimishi mmoja lwa kuangalia mazingira yanayomzunguka alikataa kata kata na kusema jambo lile haliwezi kutokea. Kisha elisha akamwambia wewe utaona chakula kinapatikana lakini utaishia kuona tu.

Kweli kesho chakula kikapatikana na mtumishi aliona na kisha akafa kwa kukanyagwa na watu wanaogombania chakula.

Sasa basi inabidi kubadili mtazamo na kuwaza positive. La sivyo utakuwa mshabiki wa wenzako kutumia fursa na kujipatia kipato na kuhakikisha adhima ya serikali inafikiwa.
Unaweza 2025 ukaiona tu na usifaidi kwasababu ya ugumu wa moyo na ukengeufu usio na maana.
 
Elimu yangu imenisaidia kutambua watu wenye elimu za mwendokas kama wewe na je...ska kuwa ni ndoto kutufikisha kwenye uchumi wa kati ifikapo 2025.....kwani hamuelewi hata msimacho......na hamjui wapi mnaelekea.......
Bado hujajibu swali langu. Nimekuuliza kuwa elimu yako hiyo ambayo siyo ya kuunga imesaidia nini jamii?
Wewe huoni kila siku unaenda kununua vitu kwenye duka la mangi ambaye hajasoma? Kwanini hujishitukii kuwa kunakitu wrong kwako?
Nakisihi hebu jibu kwanza swali langu.
 
Back
Top Bottom