Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,658
- 4,030
Nchi yetu tulipaswa tutawaliwe miaka 200 tena. Bado kabisa yaan
Ethiopia, unazungumzia nchi ambayo ina zaidi ya watu milioni 120 ikiwa na vizuri kiuchumi haswa kwenye uwekezaji wa umeme na anga.
Najua wakimbizi unaowaonaga huwa wanakufanyq uone Ethiopia ni poor country
Upo sahihi ile ni nchi ya kibepari siyo ya kijamaaUchumi wa Ethiopia ni Kama ule wa Magufuli
Anajenga miradi mikubwa Ila serikali na wananchi wana hali mbaya kuanzia mzunguko wa pesa ajira n.k
Kitendo kuwa na wakimbizi wengi wanaoikimbia nchi inaashiria uhaba wa fursa katika nchi yao.
Hii sasa ndo CHAI yenyewe .Sasa niwape siri…wale wakimbiz mnao waona wanakumbili South Africa then ulaya…budget yao tu ya mtu mmoja kutoka Ethiopia mpaka kufika South Africa huwa wanaandaa sio chin ya millioni ishirini za kitanzania kwa kichwa kimoja…nilikutana nao gerezani na kuwahoji yaan wanashangaa watanzania na wanasema ni wajinga haswa….Ethiopia sio masikin kama mnavyo zani..
Mkuu sababu ya mimi kudanganya itasaidia nini?…Ethiopia pale yupo agent kabisa kwa kazi hyo..unajikusanya fedha kikifika kiasi kinachohitajika unakipeleka na haupo peke yako…yule agent pia ana maagent wengine….pengine yy anaweza watoa pale ethiopia mpaka kenya…na pale kenya kuna agent mwingine…kiasi kwamba wakishatoa fedha kwa agent wa kwanza hawatatoa kiasi kingine mpaka kufika south Africa…kenya pale watachukuliwa either wapelekwe Tanga kupitia mombasa au waingilie kwa mbinu kupitia namanga..ndio hawa unawakuta wanakamatwa manyara ….kimbembe ni kuvuka Tz tuu…hasa hii bara bara ya Iringa…mbeya thn mpakan mwa tunduma..na hawa wanao wasafirisha wanapewa fedha nyingi sana…wakikamatwa gerezan ni kifungo cha mwaka mmoja…au fine sasa mara nyingi huwa hawana balance…wanatumikia kifungo…kikiisha kuna taratibu huwa unafanyika lakin kwa kipindi chote wanakuwa kama mahabusu mpaka ndugu zao watakapo watumia Nauli…kule wanafahamika sana kama wahabeshi…na ndugu zao wengi wanawaita ni wale ambao wamefanikiwa kufika South so wenyewe wakifika kule hawapati shida na target yao ni ulayaHii sasa ndo CHAI yenyewe .
Nakubaliana na wewe,binafsi nimepata ufafanuzi mzuri sana wa serikali na nimeulewaHili mbona serekali wamelifafanua vizuri tu, unanunua umeme jirani kuepuka gharama zisizo lazima.
Hebu chukulia wewe unamiliki kiwanda cha kutengeneza madaftari, una watoto wanasoma boarding mkoa wa mbali na ulipo wewe.
Sasa 8natokea dharula watoto wanatakiwa wapate madaftari mapya kuna mwalimu anauza madaftari.
Sasa kama wewe mzazi mmiliki wa kiwanda utakataa wasipewe daftari mpaka utume za kutoka kiwandani kwako au utatuma hela ili iwe simpo waendelee na masomo???
Vipi saizi kuna hali nzuri ya uchumi? Au ndo kujaza Wawekezaji uchwara wa kichina hapo Kariakoo?Uchumi wa Ethiopia ni Kama ule wa Magufuli
Anajenga miradi mikubwa Ila serikali na wananchi wana hali mbaya kuanzia mzunguko wa pesa ajira n.k
Kitendo kuwa na wakimbizi wengi wanaoikimbia nchi inaashiria uhaba wa fursa katika nchi yao.
SawaMkuu sababu ya mimi kudanganya itasaidia nini?…Ethiopia pale yupo agent kabisa kwa kazi hyo..unajikusanya fedha kikifika kiasi kinachohitajika unakipeleka na haupo peke yako…yule agent pia ana maagent wengine….pengine yy anaweza watoa pale ethiopia mpaka kenya…na pale kenya kuna agent mwingine…kiasi kwamba wakishatoa fedha kwa agent wa kwanza hawatatoa kiasi kingine mpaka kufika south Africa…kenya pale watachukuliwa either wapelekwe Tanga kupitia mombasa au waingilie kwa mbinu kupitia namanga..ndio hawa unawakuta wanakamatwa manyara ….kimbembe ni kuvuka Tz tuu…hasa hii bara bara ya Iringa…mbeya thn mpakan mwa tunduma..na hawa wanao wasafirisha wanapewa fedha nyingi sana…wakikamatwa gerezan ni kifungo cha mwaka mmoja…au fine sasa mara nyingi huwa hawana balance…wanatumikia kifungo…kikiisha kuna taratibu huwa unafanyika lakin kwa kipindi chote wanakuwa kama mahabusu mpaka ndugu zao watakapo watumia Nauli…kule wanafahamika sana kama wahabeshi…na ndugu zao wengi wanawaita ni wale ambao wamefanikiwa kufika South so wenyewe wakifika kule hawapati shida na target yao ni ulaya
Ili Ethiopia wawe sawa na sisi kiuchumi ilibidi wawe na GDP ya 170$Ethiopia GDP yao ni $121 billion
Tanzania GDP ni $85 billion. Anatokea mbwa koko mmoja anaiponda Ethiopia!!!!!@