Na wewe ulivokuwa unamtafuta anakujibu subiri kidogo ulimpigia kwa simu ipi?katumia simu ya nesi anaemuuguza
Hakuna kitu kama hicho, nilitaka kudhani kakudanganya kumbe umetunga. Haya mpelekee shigongowakubwa,heri ya jumapili?
kuna binti kanistaajabisha sana, huyu binti Nina uhusiano naye wa kama miezi minne hivi, sasa juzi alikuwa anasafiri kuelekea kituo Chake cha kazi Bahati mbaya gari walilokuwa wanasafiria likapata Ajali na yeye binafsi akawa ni miongon Mwa majeruhi.
Toka siku ya tukio nilikua nikimpigia simu alikua ananiambia kuwa nisubiri kidogo atanipigia hali iliyopelekea mimi nihisi labda yuko kwa mchepuko, Leo kanitafuta ndo ananieleza situation nzima ilivyokua na amenitumia picha akiwa hospital na picha ya gari ilivyobondeka...ananiambia hakutaka kunipa presha siku Ile.
Katika Ajali kapoteza pesa zake zote, simu na vitu vingine. So mimi kama mpenzi wake nimemuuliza nimtumie sh. ngapi ili kusaidia mahitaji yake ila amekataa hata senti yangu, nimembembeleza walau Nimtumie laki mbili basi hata Anunue simu nyingine amekataa badala yake ameniambia hiyo laki mbili niweke akiba
So nimemtafakari nimeona taifa letu lingekua na wanawake kumi kama huyu nadhani saivi tungekua tumewaacha mbali sana USA kimaendeleo.
Huwa nakuja jf na kichwa cha ziada.Yaani wewe kila kitu huwa unalalamika, usipobakwa basi umempata alie kama maiti!!
Hii ni story ya kutungwa japo mtunzi kuna mambo ya msingi hakuyafikiria (picha, simu nk)
Labla tuichukulie kama hadithi halafu tujiulize; Hadithi hii inatufundisha nini?
1. Wanawake wajifunze kujitegemea
2. Wanawake wajifunze kuwa wajasiri
3. wanawake wajifunze kuwa na huruma kwa wapenzi wao hasa pale wanapo ona mifuko yao haipo vizuri
Kwa hiyo kipimo cha maendeleo kwa wanawake ndo hichi?wakubwa,heri ya jumapili?
kuna binti kanistaajabisha sana, huyu binti Nina uhusiano naye wa kama miezi minne hivi, sasa juzi alikuwa anasafiri kuelekea kituo Chake cha kazi Bahati mbaya gari walilokuwa wanasafiria likapata Ajali na yeye binafsi akawa ni miongon Mwa majeruhi.
Toka siku ya tukio nilikua nikimpigia simu alikua ananiambia kuwa nisubiri kidogo atanipigia hali iliyopelekea mimi nihisi labda yuko kwa mchepuko, Leo kanitafuta ndo ananieleza situation nzima ilivyokua na amenitumia picha akiwa hospital na picha ya gari ilivyobondeka...ananiambia hakutaka kunipa presha siku Ile.
Katika Ajali kapoteza pesa zake zote, simu na vitu vingine. So mimi kama mpenzi wake nimemuuliza nimtumie sh. ngapi ili kusaidia mahitaji yake ila amekataa hata senti yangu, nimembembeleza walau Nimtumie laki mbili basi hata Anunue simu nyingine amekataa badala yake ameniambia hiyo laki mbili niweke akiba
So nimemtafakari nimeona taifa letu lingekua na wanawake kumi kama huyu nadhani saivi tungekua tumewaacha mbali sana USA kimaendeleo.
aiseUnasema simu zake zote zilipotea,na umesema amekutumia picha ya gari zilivyopondeka,je hizo picha za gari zilivyopondeka kazitoa wapi na simu zilipotea. Jipange
Huyu anataka hata akija PM akijifanya kusaidia tukatae. Ajidanganye tu ila wanawake tunapenda kupewa.Bro naona umekuja na gear ya kutaka madada wa umu wajue una pesa za kuwapa pind wanamatatizo..hope umesha pata PM za kutosha...Enjoy za weekend...idea nzur ila ifanyie Editing hisiwe na maswali mengi.
Kukasirikia nini?acha kukasirika sasa!
Wakati wewe unampigia ana kuambia subiri kidogo alikua ana tumia simu ya nanikatumia simu ya nesi anaemuuguza
We kyagata hebu jibu swali hili, punguani mkubwa weUnasema simu zake zote zilipotea,na umesema amekutumia picha ya gari zilivyopondeka,je hizo picha za gari zilivyopondeka kazitoa wapi na simu zilipotea. Jipange