Tanzania inahitaji mapatano ya kitaifa ili tuweze kusonga mbele

Nyie ni wanafiki, JK alikuwa ni muungwana sana kwenu mkaishia kumtukana na kumkejeli kuwa ni dhaifa, acha Magu awape stahili yenu, hamna kwenda kunywa juice ovyo Ikulu.
Kwani chadema ndio wanaoisoma namba? Nikwambie tu mimi kwa mfano juzi asubuhi kaja kwangu jamaa anaomba kazi amechoka na kofia yake ya CCM nilichomjibu nilimwambie aende ofisi za ccm watampa kazi akaondoka.na njaa yake
 
Kwa hiyo? Hapo umeonyesha ujinga wako tu, halafu mbaya zaidi unakuja kujisifia huku kwa upuuzi wa kubagua mwingine kwa sababu ya itikadi, halafu ukimaliza tena unaomba maridhiano, mmejaa unafiki na chuki tupu.
 
Kama kweli muuaji wa kibiti anaacha ujumbe kwamba analipiza uonevu wa serikali basi Taifa lina sababu ya kujitafakari
 
Back
Top Bottom