Tanzania ina demokrasia kuliko Uingereza na Norway

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
52,003
Tanzania viongozi hupatikana kidemokrasia kwa sanduku la kura lakini wafalme na malkia wa Uingereza na Norway huwa hawapigiwi kura pamoja na kuwa hutumia hela za walipa kodi katika shughuli zao.

Malkia na wafalme wa Uingereza na Norway ni ving`ang`anizi wa madaraka ni wao tu kutawala na familia zao.Yaani wanatawala nchi kiukoo.Hamna demokrasia kabisa.Waafrika huwa tunaambiwa kuwepo ukomo wa muda wa uongozi lakini kwao malkia wao na wafalme wao ruksa kuendelea hadi wafe na wakifa wakabidhi watoto wao LOOOO!!!

Kwa kipengele hiki Tanzania kidemokrasia imewazidi mbali Uingereza na Norway.Iko haja uingereza na norway kuja kujifunza demokrasia tanzania.
 
@

Elimu elimu elimu. Unafahamu parliamentary monarchy?
 
Tatizo la hawa Wazungu wanazani tu mambumbu kama enzi za ukoloni, kwa sasa hatudanganyiki hata kidogo na watamdanganya Maalim seif na nyumbu wengine wasiojielewa. Wanataka tuwe tunafanya mambo ambayo wao hawapractice ilihali kukidhi mahitaji yao.
 
sometimes mtu unataman uwe kipofu hili usikutane na uzi kama huu na kuusoma.

Kuna haja gani sasa ya kuona
 
an egg laying mammal!
 

kwani huuni ufalme wa TANZANIA, watoto wa mwinyi ni wabunge, watoto wa karume mmoja alikuwa rais, mtoto wa jk , MBUNGE, MTOTO WA NYERERE mbunge EALA. ufalme upo bongo sana tu.
 
Zanzibar Seif alipatikana kwa sanduku la kura wezi wa CCM wakapindua matokeo.
Acha unafiki.
 
Kama wana taratibu zao za utawala hata waafrika tuna taratibu zetu wasituingilie kama ambavyo hatuwaingilii
Wasizani kuwa wapo juu ya sheria za nchi hii. Lengo pachafuke walete wanajeshi wa kulinda amani yao kama ilivyo hivi sasa ktk nchi nyingi za afrika. Kweli hawa nao ni majipu yatizamwe upya. Na huyo balozi angeenda ccm ingetafsiriwa kuwa kahongwa,sasa huko Cuf kafanywaje? Tena sehemu yenyewe alikoenda Zanzibar. Napata mashaka sana hapa hususan na zile ajenda zao za ndoa flani zile.
 
kwani huuni ufalme wa TANZANIA, watoto wa mwinyi ni wabunge, watoto wa karume mmoja alikuwa rais, mtoto wa jk , MBUNGE, MTOTO WA NYERERE mbunge EALA. ufalme upo bongo sana tu.
tundu lisu nae mtoto wanan? Acha kudanganya watu
 
hvi wewe jama ni tahira au,yani hadi leo ujui aina za serikali duniani? yaani hata mtoto wa standard 7 hawezi sema utumbo kama huu
 
Wafalme hao sio watendaji wa serikali, mawaziri wakuu wa nchi hizo ndio marais ,
 
Wafalme hao sio watendaji wa serikali, mawaziri wakuu wa nchi hizo ndio marais ,

Ni watendaji acha kuongopa
Tulia wewe nikupe kazi mfano za Utendaji za Malkia wa Uingereza wa uingereza kutoka kwenye website yao OFFICIAL hizi hapa

The British Sovereign can be seen as having two roles: Head of State, and 'Head of the Nation'.

As Head of State, The Queen undertakes constitutional and representational duties which have developed over one thousand years of history.

There are inward duties, with The Queen playing a part in State functions in Britain. Parliament must be opened, Orders in Council have to be approved, Acts of Parliament must be signed, and meetings with the Prime Minister must be held.

There are also outward duties of State, when The Queen represents Britain to the rest of the world. For example, The Queen receives foreign ambassadors and high commissioners, entertains visiting Heads of State, and makes State visits overseas to other countries, in support of diplomatic and economic relations.


SoUrce:http://www.royal.gov.uk/MonarchUK/HowtheMonarchyworks/theroleofthesovereign.aspx


Mfalme wa norway kazi zake hizo hapo ni pamoja na kuwa yeye ndiye amiri jeshi wa majeshi yote

Norway King’s constitutional role
Today the King’s duties are mainly representative and ceremonial. When the Constitution states that: “the executive power is vested in the King”, this now means that it is vested in the Government.


The King undertakes the formal opening of the Storting (the Norwegian parliament) every autumn. He plays an important role in connection with changes of government and presides over the Council of State at the Royal Palace. The King and Queen make state visits to other countries and are hosts to foreign Heads of State who visit Norway. Newly appointed ambassadors to Norway from other countries must present their credentials to the King during a formal audience at the Royal Palace. The King is Commander-in-Chief of the country’s armed forces, and holds the rank of general in the Army and Air Force, and admiral in the Navy. The King also served as the formal head of the Church of Norway in accordance with Article 4 of the Constitution until the constitutional amendment of 21 May 2012.


In addition to granting audiences, the King’s day-to-day duties also include meetings with the Prime Minister, the Foreign Minister and representatives of the Defence Establishment. The King also travels to different parts of Norway, where he visits public and private institutions.

Source :The King’s constitutional role
 
Kama mna demokrasia kuliko wao kwa nini kila kukwama misaada kuomba kwao acheni unafiki
 
Jamani jamani Watanzania wenzangu mbona tunaaibishana hivi?msiwape Wakenya sababu ya kuhalalisha dharau zao dhidi yetu.Mleta mada please soma vyanzo mbalimbali vya habari bana ujiongeze,acha kutegemea kituo cha TV cha TBC na gazeti la uhuru kama vyanzo vyako vya habari bana.Kwa ufupi Uingereza washabadilisha vyama tawala madarakani mara nyingi sana,Last time Uingereza walifanya uchaguzi ambapo Mr Cameron wa Tory (Conservative Party) alimbwaga Mr Brown wa Labor Party kabla ya kuja kumbwaga mgombea mwingine wa Labor Party hivi karibuni wakati akikitetea kiti chake cha Uwaziri mkuu.Niambie ni lini hii nnchi yetu yenye demokrasia nzuri kuliko Uingereza na Denmark imewahi kubadilisha vyama tawala madarakani kupitia sanduku la kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…