Mleta mada utakua hujielewi na huelewi sayansi ni nini. Kwa uelewa wako mdogo unashindwa kutofautisha level za elimu, na unahisi sayansi ni elimu ndogo ambayo inaweza kufundishwa ktk level za shule ya msingi na sekondari na kumalizika yote; ndio maana unaonekana kuwaza kua unataka walimu wa shule za misingi na sekondari wafundishe udakatri, n.k, ndio utambue kama wanafundisha sayansi.
Walimu hao usiowatambua kama wanafundisha sayansi, ndio wanaowaandaa wanafunzi ili baadae wakiendelea na masomo yao, wafikie kiwango cha elimu cha kua madakatari wa kututibu, mainjinia ktk fani mbani mbalimbali, wataalamu wa mambo ya kilimo wanaofanya tafiti na kuandaa mbegu bora za kilimo, wakemia wa kukumipima wewe kama unatumia madawa ya kulevya na kupima mchanga wa mabaki ya madini kugundua kiwango cha madini kilichopo kwenye mchanga huo, n.k.
Sasa nikuulize. Unadhani elimu unayowapa wewe ya kutaja viima na viarifu, ndiyo inayowalea wanafunzi mpaka kua madakatari, n.k? Majibu yako uyatumie ktk kutafakari upya ulichoandika, kisha urudi tena.
Kuna tofauti gani kati ya science na historia ya science
Ni wapi duniani wanafundisha purely science bila kuanza na historia ya science
Uko sahihi 100% mkuu,ila sasa ni kwa nini?labda hata sisi ni wavivu sana,ugunduzi huambatana na kujaribu kwingi kitu tusichokiweza kabisa, mfano haiingii akilini msomi wa sayansi anapolilia ajira nchi hii!maana yake alisomea kufaulu tu na hawezi kuapply hiyo elimu katika maisha halisi.Je tatizo ni mitaala au watu wenyewe.Mtoa mada mada kaongea ukweli ambao wengi hatutaki kuusikia. Ila tujiulize ni discovery gani imefanyika ndani ya nchi hii ambayo imetokana na the so called Science. Wengi wanaofanya innovation ndani ya nchi hii unakuta ni wale wasiopitia formal education. Wengine wenye PHD za masomo ya science wanaishia kuringia kwa kutembea na vyeti vyao. Wengine wanasemekana wamegundua matumizi ya maganda ya korosho lakini hadi sasa hakuna economic output yoyote inayoonekana kutokana na huo ugunduzi wao.
Shame on you.......
Ni wavivu kwa kuwa tumeshaona ku import vitu kutoka kwa nchi za wenzetu ni sehemu ya utamaduni wetu. Hivyo hatuoni umuhimu wa kufanya discovery yeyote ile.Uko sahihi 100% mkuu,ila sasa ni kwa nini?labda hata sisi ni wavivu sana,ugunduzi huambatana na kujaribu kwingi kitu tusichokiweza kabisa, mfano haiingii akilini msomi wa sayansi anapolilia ajira nchi hii!maana yake alisomea kufaulu tu na hawezi kuapply hiyo elimu katika maisha halisi.Je tatizo ni mitaala au watu wenyewe.
Unakutana na mtu kasoma physics chemistry maths hadi advanced level lakini awezi hata kurekebisha tube light nyumbani kwao.Uko sahihi 100% mkuu,ila sasa ni kwa nini?labda hata sisi ni wavivu sana,ugunduzi huambatana na kujaribu kwingi kitu tusichokiweza kabisa, mfano haiingii akilini msomi wa sayansi anapolilia ajira nchi hii!maana yake alisomea kufaulu tu na hawezi kuapply hiyo elimu katika maisha halisi.Je tatizo ni mitaala au watu wenyewe.
Halafu anakuwa na maringo sana eti ana vyeti,akikuona na kibaiskeli ulichojinunulia kwa kuuza matikiti ya vipande mtaani anakuvumishia ufreemanson.Sasa hiyo miaka kapoteza ya nini darasani?Unakutana na mtu kasoma physics chemistry maths hadi advanced level lakini awezi hata kurekebisha tube light nyumbani kwao.
Mwalimu wa physics sio fundi umemeHalafu anakuwa na maringo sana eti ana vyeti,akikuona na kibaiskeli ulichojinunulia kwa kuuza matikiti ya vipande mtaani anakuvumishia ufreemanson.Sasa hiyo miaka kapoteza ya nini darasani?