ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
Mleta mada utakua hujielewi na huelewi sayansi ni nini. Kwa uelewa wako mdogo unashindwa kutofautisha level za elimu, na unahisi sayansi ni elimu ndogo ambayo inaweza kufundishwa ktk level za shule ya msingi na sekondari na kumalizika yote; ndio maana unaonekana kuwaza kua unataka walimu wa shule za misingi na sekondari wafundishe udakatri, n.k, ndio utambue kama wanafundisha sayansi.
Walimu hao usiowatambua kama wanafundisha sayansi, ndio wanaowaandaa wanafunzi ili baadae wakiendelea na masomo yao, wafikie kiwango cha elimu cha kua madakatari wa kututibu, mainjinia ktk fani mbani mbalimbali, wataalamu wa mambo ya kilimo wanaofanya tafiti na kuandaa mbegu bora za kilimo, wakemia wa kukumipima wewe kama unatumia madawa ya kulevya na kupima mchanga wa mabaki ya madini kugundua kiwango cha madini kilichopo kwenye mchanga huo, n.k.
Sasa nikuulize. Unadhani elimu unayowapa wewe ya kutaja viima na viarifu, ndiyo inayowalea wanafunzi mpaka kua madakatari, n.k? Majibu yako uyatumie ktk kutafakari upya ulichoandika, kisha urudi tena.