Sam GM
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 535
- 30
Na sasa nawaambia macho yaelekee huko JAPAN kwenye G8 summit kwani Egypt wataitumia issue hiyo kuwabana waingereza na wamarekani ili Israeli isiendelee kuwafanyia mbaya Pelestine na ama KUIWASHA MOTO IRAN.
Pia wasi wasi mwingine ni kwamba ISRAEL wanadhani kuwa eti Obama akishinda basi hawataendelea kupata mabilioni ya dollars wanayopewa na wamarekani kila siku.
Hivyo kama kweli wanaamini hivyo na kuona kuwa Obama atashinda na kama ni kweli kuwa Obama ana sera za kutokuwapa pesa nyingi kama ilivyo kawaida...Then wanaweza kuharakisha vita vya IRAN!
Hivyo basi G8 IS VERY IMPORTANT!
TAARIFA NYINGINE AMBAZO WAMETOA SASA NI KUWA KUNA MAONGEZI YANAENDELEA NA IRAN ILI KUUMALIZA MGOGORO HUO ILA KWA MASHART KWAMBA WASUSPEND NEUCLEAR ACTIVITIES.
JMushi unaona unavyotukorogea habari kwa nini usibaki kwenye hoja ya mjadala?
Bush Aliposema You Are Either With Us Or Not...pale Ndio Mwanzo Wa Sera Zake Hizo..kuigawa Dunia..inawezekana Kuna Watu Ndani Ya Mashirika Ya Ulinzi Na Usalama Ya Marekani Ambao Hawataki Mwelekeo Huo Na Sasa Wako Radhi Kumlinda Obama Kwa Kila Hali!
Na Ama Kwa Hakika...kuingia Madarakani Kwa Obama Kunaweza Kutusaidia Sana.
Kwani Yeye Ana Sera Ambayo Haitaki Ma Lobbysts!(wale wanaowaonga wawakilishi wa wananchi ili wasimamie haki za makampuni na si wananchi)
Hao(lobbysts) Ni Wawakilishi Wa Makampuni Makubwa Ambayo Yana Nguvu Kubwa Na Ndiyo Yanayoiendesha Marekani!
Obama Amesema Sasa Ni Wakati Wa Issue Za Wananchi Na No More Special Interests...no More Lobbying For No Companies!
Kwa Kufanya Hivyo...amejitengenezea Maadui Wakubwa Ambao Hata Viongozi Wetu Wanawaogopa!
Kina Sinclair,Andrew Young Nk!
Haya ya kwako yapeleke yanakohusika, nafikiri umesoma heading ya post hapa ni nini au unataka watu turudie tena??????