Mkuu, hebu tuachie hapo maana wewe na mimi hatujaiona hiyo mikataba kwakuwa huwa wanasema ni siri ya serikali labda tungeiona tusingebishana.Kuna mkataba unawaruhusu wadanganye kuwa kwenye mchanga hakuna dhahabu???
Akili ndogo kujadili mambo makubwa ni ujinga mtupu
Malipo uwa ni hapahapa dunia! Tunasema kila siku kuwa CHADEMA kwa sasa ndicho chama pekee cha kifisadi ambacho ndicho kinachowatetea wauza madawa ya kulevya, watumishi hewa, wezi wa madini na kuwaita wakwapuaji mali za umma kuwa ni watakatifu. Kazi nzuri inayofanywa na Rais wetu Magufuli, ndiyo inayoanza kuwaumbuka wanachadema kwa sasa.Vita ya uchumi ni ngumu, imefikia hatua baadhi ya watanzania wenzetu waliotuzungusha mikono wakitaka tuwape nchi walete mabadiliko leo hii ndio wako kifua mbele kuhujumu nchi.
Mwenendo wa baadhi ya wabunge na gazeti la Tanzania daima ni wa kutiliwa shaka.
Tangu kuibuka kwa Vita kali ya dawa za kulevya habari zinazowekwa mbele na hili gazeti hazina utafiti wala tija yoyote kwa watanzania.
Kitendo cha leo kuibuka na front page kwua hatuibiwi kwenye mchanga wa madini inasikitisha sana
Gazeti hili ni dhahiri sasa linatumika na mafisadi kujisafisha .
Tafiti hupingwa kwa utafiti, huwezi ukawa umejifungia ndani tu alafu ukaping utafiti watu wenye akili timamu na wenye uchungu na nchi yao wakakuelewa.
Magazeti ya Tanzania daima ,Mawio na mwanahalisi itabidi wajitafakari kwa sasa wanamtetea nani kwenye maandiko yao???
Mkuu hana cha supporting documents bali yeye anapelekeshwa na upepo wa lumumba tuWeka supporting document tuone walivyodanganya vinginevyo nawewe umeandika rubbish.
Ulisoma lakini kilicho andikwa ndani maana magazeti huwa yana kasumba yauandishi fulani wa kuvutia wateja.ukifungua kurasa kumbe wamenukuu kipande cha maneno fulaniVita ya uchumi ni ngumu, imefikia hatua baadhi ya watanzania wenzetu waliotuzungusha mikono wakitaka tuwape nchi walete mabadiliko leo hii ndio wako kifua mbele kuhujumu nchi.
Mwenendo wa baadhi ya wabunge na gazeti la Tanzania daima ni wa kutiliwa shaka.
Tangu kuibuka kwa Vita kali ya dawa za kulevya habari zinazowekwa mbele na hili gazeti hazina utafiti wala tija yoyote kwa watanzania.
Kitendo cha leo kuibuka na front page kwua hatuibiwi kwenye mchanga wa madini inasikitisha sana
Gazeti hili ni dhahiri sasa linatumika na mafisadi kujisafisha .
Tafiti hupingwa kwa utafiti, huwezi ukawa umejifungia ndani tu alafu ukaping utafiti watu wenye akili timamu na wenye uchungu na nchi yao wakakuelewa.
Magazeti ya Tanzania daima ,Mawio na mwanahalisi itabidi wajitafakari kwa sasa wanamtetea nani kwenye maandiko yao???
Hili ndiyo tatizo linalozidi kutu tafuna wa tz yaani hamjui kuhoji.yaani ni ndiyooGazeti la Tanzania Daima limechagua kuwa upande wa kuiumiza Tanzania. Hawana hata chembechembe ya uzalendo. Traitors.
Ikumbukwe pia mwamba alioupima mtaalamu wa miamba Chenge mwaka 97 sio alioupima Prof Mruma. Tusikariri.
Kwa staili hii kazi ipo eti chadema chama cha kifisadi.sjui wengine hamnaga ata aibuMalipo uwa ni hapahapa dunia! Tunasema kila siku kuwa CHADEMA kwa sasa ndicho chama pekee cha kifisadi ambacho ndicho kinachowatetea wauza madawa ya kulevya, watumishi hewa, wezi wa madini na kuwaita wakwapuaji mali za umma kuwa ni watakatifu. Kazi nzuri inayofanywa na Rais wetu Magufuli, ndiyo inayoanza kuwaumbuka wanachadema kwa sasa.
Vita ya uchumi ni ngumu, imefikia hatua baadhi ya watanzania wenzetu waliotuzungusha mikono wakitaka tuwape nchi walete mabadiliko leo hii ndio wako kifua mbele kuhujumu nchi.
Mwenendo wa baadhi ya wabunge na gazeti la Tanzania daima ni wa kutiliwa shaka.
Tangu kuibuka kwa Vita kali ya dawa za kulevya habari zinazowekwa mbele na hili gazeti hazina utafiti wala tija yoyote kwa watanzania.
Kitendo cha leo kuibuka na front page kwua hatuibiwi kwenye mchanga wa madini inasikitisha sana
Gazeti hili ni dhahiri sasa linatumika na mafisadi kujisafisha .
Tafiti hupingwa kwa utafiti, huwezi ukawa umejifungia ndani tu alafu ukaping utafiti watu wenye akili timamu na wenye uchungu na nchi yao wakakuelewa.
Magazeti ya Tanzania daima ,Mawio na mwanahalisi itabidi wajitafakari kwa sasa wanamtetea nani kwenye maandiko yao???
Wee mburula!!! Nani kakukaririsha kuwa lazima utafiti upingwe kwa utafiti!Vita ya uchumi ni ngumu, imefikia hatua baadhi ya watanzania wenzetu waliotuzungusha mikono wakitaka tuwape nchi walete mabadiliko leo hii ndio wako kifua mbele kuhujumu nchi.
Mwenendo wa baadhi ya wabunge na gazeti la Tanzania daima ni wa kutiliwa shaka.
Tangu kuibuka kwa Vita kali ya dawa za kulevya habari zinazowekwa mbele na hili gazeti hazina utafiti wala tija yoyote kwa watanzania.
Kitendo cha leo kuibuka na front page kwua hatuibiwi kwenye mchanga wa madini inasikitisha sana
Gazeti hili ni dhahiri sasa linatumika na mafisadi kujisafisha .
Tafiti hupingwa kwa utafiti, huwezi ukawa umejifungia ndani tu alafu ukaping utafiti watu wenye akili timamu na wenye uchungu na nchi yao wakakuelewa.
Magazeti ya Tanzania daima ,Mawio na mwanahalisi itabidi wajitafakari kwa sasa wanamtetea nani kwenye maandiko yao???
limebadili mirindimo???Mwanzo tz daima lilikuwa imara dhidi ya maslah ya nchi, ila toka chadema iuzwe kwa fisadi edo nalo limebadili mirindimo kuendana na mkuu wa mafisadi
Jamani hivi kwanini kama hamna kitu cha kuandika muwe wasomaji? Ukileta kitu hapa jaribu kuleta kitu maana na uwe mstarabu usituletee mipasho ama siyo na wewe utakuwa kama hao Tanzania Daima. Tofauti yako na hao waliozungusha mikono hakuna maana na wewe umekua kama vuvuzela kopo linapiga kelele ili lisikike....me just sayVita ya uchumi ni ngumu, imefikia hatua baadhi ya watanzania wenzetu waliotuzungusha mikono wakitaka tuwape nchi walete mabadiliko leo hii ndio wako kifua mbele kuhujumu nchi.
Mwenendo wa baadhi ya wabunge na gazeti la Tanzania daima ni wa kutiliwa shaka.
Tangu kuibuka kwa Vita kali ya dawa za kulevya habari zinazowekwa mbele na hili gazeti hazina utafiti wala tija yoyote kwa watanzania.
Kitendo cha leo kuibuka na front page kwua hatuibiwi kwenye mchanga wa madini inasikitisha sana
Gazeti hili ni dhahiri sasa linatumika na mafisadi kujisafisha .
Tafiti hupingwa kwa utafiti, huwezi ukawa umejifungia ndani tu alafu ukaping utafiti watu wenye akili timamu na wenye uchungu na nchi yao wakakuelewa.
Magazeti ya Tanzania daima ,Mawio na mwanahalisi itabidi wajitafakari kwa sasa wanamtetea nani kwenye maandiko yao???
Jitahidi kutafakari pale unapoweka habari ndugu kuliko kutaka kupotosha watu, habari iliyopo inamzungumzia Chenge kutoa kauli hiyo sasa sijui Chenge ni CHADEMA au CCM?Vita ya uchumi ni ngumu, imefikia hatua baadhi ya watanzania wenzetu waliotuzungusha mikono wakitaka tuwape nchi walete mabadiliko leo hii ndio wako kifua mbele kuhujumu nchi.