Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,035
Hao TPDF wangeanza na kujenga runway na airbase yao kwanza, alafu polepole ndo una upgrade ..... juzi juzi mliwaachia wachina wajenge runway ambayo ni kama kujenga barabara ya asphalt.. Tanzania Inaugurate USD68.5m Military Airport - TanzaniaInvest
anyway, kila mtu na priority zake, Tz wakiwa na priority zake Kenya iko na yake, sisi Kazi kama hizo zimepewa civilians.... Wanajeshi wakati wa amani huku kenya wanahusika katika kupanda miti, Kufanya research ya magonjwa ya Ukimwi, na kutengeneza risasi za kutumia hao na polisi....etc Pia hua mara kwa mara nawaona wakijenga barabara zao