Tanzania chini ya Rais Magufuli itaimarika kiuchumi, kidemokrasia na Utawala Bora

Wadau, amani iwe kwenu.

Tanzania tumepata neema. Tanzania tumepata kiongozi. Tanzania tumepata mtetezi. Tanzania tumepata wa kutunyoosha.

Sijapata kuona nchi hii ikiwa na kiwango kikubwa cha Demokrasia kama wakati huu. Uhuru wa kujieleza umepanuka kiasi cha watu kuwa na uhuru wa kuandika chochote kupitia mitandao ya kijamii.

Kama hiyo haitoshi, Wasanii kwa sasa wana uhuru wa kuexpress hisia zao kwa uhuru na bila kubaguliwa. Mtetezi wao Mkuu ni Rais Magufuli.

Magazeti nayo kwa sasa yanaruhusiwa kuchapa habari yoyote bila kuogopa.

Vituo vya Radio vinaruhusiwa kuanzisha propaganda hata za kuitikisa Serikali. Leo hii hata nyimbo za kukashifu viongozi wa Serikali zinaruhusiwa kuimbwa.

Rais Magufuli ameleta mabadiliko makubwa ambayo hatukuwahi kuwaza kama yatatokea kwa muda mfupi

Haha yote yanatokea huku taifa likiwa katika kasi kubwa kimaendeleo. Miradi mikubwa ya maendeleo inatekelezwa.

Hongera sana Rais Magufuli. Hongera sana Serikali ya CCM.
Ulianza kufikilia kwa kutumia Ubongo, ikaja shingo, ikaja tumbo lakini sasa naona unafikilia kwa kutumia kibofu cha mkojo.
 
Naona ukweli hapa huyu mtu ukimwangalia usoni unajua ana uchungu na pesa na meli ndo hizo zimeanza kumwaga mali scanner haziongopi akimaliza tatizo la bashite hatakuwa na doa naendelea kumwoombea ipo cku tutaona uzuri wake kazi anapiga
 
Lizabon huna hata aibu? Umeandika kama Pascal Mayala anavyoandika kinyumenyume. Hili bandiko lako linamkebehi Magu badala ya kumsifia kama unavyodhani! Umempa sifa ambazo zote ni kinyume chake! Lengo lako ni nini? Ni kutaka kumasha hasira za watu waanze kumshambulia mheshimniwa rais? Si ni juzi tu kasema wamiliki wa vyombo vya habari wasidhani wana uhuru to that extent na eti wa "watch it"? Sidhani kama una nia nzuri na mheshimiwa rais! Usingemsifia katika eneo ambalo hasa ndipo kwenye udhaifu wake mkubwa! Unatia aibu sana!
 
Ana miradi 12 mipya ndani ya mwaka mmoja 1)ndege 2)tazara kivuko) 3)ubungo interchenge 4)barabara ya baharini kutoka masaki coco 5)meli ziwa victoria 6)air port dar 7)mabweni chuo kikuu 8)barabara makongo juu mlimani 9)reli dar moro 10)kisima cha maji lindi 11) scaner bandarini 12 ongezeni mengine kuhamisha wizara na watu kuna garama zake kwenda dodoma
 
hivi nyie watu wa Lummumba mna elimu gani? hivi wewe Lizaboni hivi ulimaliza kweli hata elimu ya msingi?
mbona nina wasiawsi na uwezo wako???????????????????????????????????????????????????????????????
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Tanzania tumepata neema. Tanzania tumepata kiongozi. Tanzania tumepata mtetezi. Tanzania tumepata wa kutunyoosha.

Sijapata kuona nchi hii ikiwa na kiwango kikubwa cha Demokrasia kama wakati huu. Uhuru wa kujieleza umepanuka kiasi cha watu kuwa na uhuru wa kuandika chochote kupitia mitandao ya kijamii.

Kama hiyo haitoshi, Wasanii kwa sasa wana uhuru wa kuexpress hisia zao kwa uhuru na bila kubaguliwa. Mtetezi wao Mkuu ni Rais Magufuli.

Magazeti nayo kwa sasa yanaruhusiwa kuchapa habari yoyote bila kuogopa.

Vituo vya Radio vinaruhusiwa kuanzisha propaganda hata za kuitikisa Serikali. Leo hii hata nyimbo za kukashifu viongozi wa Serikali zinaruhusiwa kuimbwa.

Rais Magufuli ameleta mabadiliko makubwa ambayo hatukuwahi kuwaza kama yatatokea kwa muda mfupi

Haha yote yanatokea huku taifa likiwa katika kasi kubwa kimaendeleo. Miradi mikubwa ya maendeleo inatekelezwa.

Hongera sana Rais Magufuli. Hongera sana Serikali ya CCM.

Wadau, amani iwe kwenu.

Tanzania tumepata neema. Tanzania tumepata kiongozi. Tanzania tumepata mtetezi. Tanzania tumepata wa kutunyoosha.

Sijapata kuona nchi hii ikiwa na kiwango kikubwa cha Demokrasia kama wakati huu. Uhuru wa kujieleza umepanuka kiasi cha watu kuwa na uhuru wa kuandika chochote kupitia mitandao ya kijamii.

Kama hiyo haitoshi, Wasanii kwa sasa wana uhuru wa kuexpress hisia zao kwa uhuru na bila kubaguliwa. Mtetezi wao Mkuu ni Rais Magufuli.

Magazeti nayo kwa sasa yanaruhusiwa kuchapa habari yoyote bila kuogopa.

Vituo vya Radio vinaruhusiwa kuanzisha propaganda hata za kuitikisa Serikali. Leo hii hata nyimbo za kukashifu viongozi wa Serikali zinaruhusiwa kuimbwa.

Rais Magufuli ameleta mabadiliko makubwa ambayo hatukuwahi kuwaza kama yatatokea kwa muda mfupi

Haha yote yanatokea huku taifa likiwa katika kasi kubwa kimaendeleo. Miradi mikubwa ya maendeleo inatekelezwa.

Hongera sana Rais Magufuli. Hongera sana Serikali ya CCM.
Rudisha pesa ya wahanga wa kagera kiazi wewe
 
alete reli kwetu maana Tabora ukiongelea viwanda ni kuimalika kwa reli naona anatutenga kwa kila kitu kuanzia teuzi mpk miradi Ya maendeleo
 
Hii nchi kuna watu wa aina nyingi,
1.Wapumbavu, kama unajijua umesoma angalau miaka 4 ya sekondari na bado unashabikia upuuzi jua wewe ni mpumbavu na hauponyeki kwa dawa yoyote, hata ukatwangwa na urudishwe upya.
2.Wajinga, hawa ni watu wasiopaswa kulaumiwa kwani ni mazingira tu yamepelekea kukosa elimu.
3.Walioelimika, hawa inasadikika wapo si chini ya milion 6.Hawa kuna walioelimika kupitia shule na wengine hawakwenda shule ila wangepata fursa ya kusoma wangefanya mambo makubwa.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Tanzania tumepata neema. Tanzania tumepata kiongozi. Tanzania tumepata mtetezi. Tanzania tumepata wa kutunyoosha.

Sijapata kuona nchi hii ikiwa na kiwango kikubwa cha Demokrasia kama wakati huu. Uhuru wa kujieleza umepanuka kiasi cha watu kuwa na uhuru wa kuandika chochote kupitia mitandao ya kijamii.

Kama hiyo haitoshi, Wasanii kwa sasa wana uhuru wa kuexpress hisia zao kwa uhuru na bila kubaguliwa. Mtetezi wao Mkuu ni Rais Magufuli.

Magazeti nayo kwa sasa yanaruhusiwa kuchapa habari yoyote bila kuogopa.

Vituo vya Radio vinaruhusiwa kuanzisha propaganda hata za kuitikisa Serikali. Leo hii hata nyimbo za kukashifu viongozi wa Serikali zinaruhusiwa kuimbwa.

Rais Magufuli ameleta mabadiliko makubwa ambayo hatukuwahi kuwaza kama yatatokea kwa muda mfupi

Haha yote yanatokea huku taifa likiwa katika kasi kubwa kimaendeleo. Miradi mikubwa ya maendeleo inatekelezwa.

Hongera sana Rais Magufuli. Hongera sana Serikali ya CCM.
Duh! Sikuwahi kujua kuwa ipo siku utapata uthubutu wa kuwang'ong'a hadi wanaokulipa buku 7
 
Back
Top Bottom