mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,133
- 49,576
Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri.
Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni.
Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa suruali,hatakama nyendo zake ni murua.
Acheni ushamba, leo nimeamua kuwatetea wake zangu.